The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 2,344
- 3,405
Hizi Gari zinavyofunguka huko Road hamna namna inaweza fanya gari moja ikisimama ghafla zote zisivaaane.
Yaniii wanachomoka kiasi kwamba unajiuliza hawa raia wanajuaga kuna bahati mbaya au ajali kazini?
Sababu ni ROUGH ROAD ndio mana yamewakuta wote ila ingekua LAMI wasingepata wote ajali maana LAMI huwa wanatanua kama wachezaji wa ARSENAL...