Msaada wenu wa haraka, wembamba unaninyima amani

Msaada wenu wa haraka, wembamba unaninyima amani

Safi saana mkuu,huyo jamaa simpati..ni nani?
Mfatilie mkuu ana philosphy yake moja ya discpline equals freedom... ni ex seal au navy nadhani... jamaa anaamka daily sa kumi na nusu no matter what... mfatilie instagram kwa jina hilo jocko willink au youtube huwa anapodcast zake kule... ana kitabu pia kinaitwa discpline equals freedom... yuko nondo sana discpline za kijeshi
 
Mfatilie mkuu ana philosphy yake moja ya discpline equals freedom... ni ex seal au navy nadhani... jamaa anaamka daily sa kumi na nusu no matter what... mfatilie instagram kwa jina hilo jocko willink au youtube huwa anapodcast zake kule... ana kitabu pia kinaitwa discpline equals freedom... yuko nondo sana discpline za kijeshi
Ngoja nimchek mkuu
 
Ila hata mimi mwanaume mwembamba sana simtaki..
Ingekuwa inawezekana ningekupunguzia nyama zangu kidogo

Na ndio sababu bado unadanga....
Unategemea vi end of year party uchwara kupata tuvijana twa chuo tulito na stress za ajira... Utajikuta bibi unajiona hivo hivo!!

Shauri yako. Wenzio tunakula maisha ya ndoa safi.
 
Habarini za muda huu, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunapata chakula cha siku kwa familia na binafsi
.
.
Niende kwenye point moja kwa moja:
.
.
.
Mimi ni kijana umri wangu ni range (25--30), mpaka sasa nimeshapitia mahusino na mabinti watatu, nina urefu wa kutosha (sio kama hashim thabiti no), ila tatizo linakuja kwenye umbile la mwili wangu nimekuwa na changamoto kadha wa kadha
.
.
Kwenye familia yangu baba yangu Ana mwili wa kutosha na amepanda ewani vizuri sana, mama yangu hana mwili wa kutosha ni mwembamba
.
.
Binti wa kwanza, aliniacha kwa kuwa alipenda sana ninenepe na niwe na nyama nyama za kutosha ila haikuwa ivyo nilidumu nae kwa mwaka mmoja akaniacha
.
.
Binti wa pili, uyu alinishauri sana nile vizuri ninenepe, ila haikuwa ivyo tukaachana (kwa sababu nyingine tofauti na wembaba ingawaje alikuwa akinisisitiza sana ninenepe)
.
.
Uyu wa tatu nilimpenda mno tena mno ametoka kuniacha Nina week ya nne sasa (mwezi mmoj), uyu alinishauri Nile mayai, uji wa ulezi na maziwa..kwa mazingira nilikuwepo sikuweza kubalance ivyo chakula kwa sababu,
.
.
Nilichaguliwa kusoma chuo kikuu cha dodoma, collage of informatics, course ya computer engineering
.
.
Nilikutana na masomo magumu mno na changamoto ya chuo (collage ya informatics )ilikuwa ikinipa pressure muda wote
.
.
Kulingana na changamoto za chuo sikujali kuhusu wembaba wangu tena


Baada ya uyu binti wa tatu kuona bado nipo vilevile akaamua kunitafutia sababu na kuachana na mimi (ila Nina uhakika wa asilimia 95.5%) nimeachwa kwa ajili ya huu wembaba
.
.
Nimemaliza chuo mwaka huu, na matokeo yametoka poa nasubili graduu tu, sina tena streess nipo happy kabisa!!

Naombeni msaada wenu ni njia zipi nizifate angalu nipate mwili-mwili, sitaki kuwa kibonge sana ila napenda kuwa na nyama za wastani

Naombeni maoni yetu


Asante na mungu awabariki
Jamani pole,njoo kwangu mimi mwembamba mwenzio,nina kg39,urefu 150 na umri 25.
 
Pendelea kula vyakula vya wanga kwa wingi na matunda pia ni ya muhimu vile vile ujitahidi kufanya mazoezi.
ni hayo tu kiongozi.
 
Pole sana, ila kwa ushauri tu....jaribu kutafuta mwanamke, atakayekupenda jinsi ulivyo. Na wala usijisumbue kujitutumua, ili upendwe au/na kubaki na mwanamke. ila pia kama unadhani huo mwili sio wako, pengine umbo lako ni la unene....basi jitaidi kujipigania ili uweze kurudisha mwili wako. Unaweza kuurudisha mwili wako kwa kufanya mambo mbalimbali, kama vile kula vizuri, kufanya mazoezi ya viungo, kupata muda wa kutosha wa kupumzika n.k.

Once again pole sana....
 
Itakuwa hujui kugegeda vizur.....
Wembamba sio sababu bhn..jichunguze,utakuwa huimudu shughuli wew mwanaume wa mkoani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom