Ww unene huez kuulazimisha utanenepa mda wowote bila hata we kutegemea na kama mtu kakupenda ulivo sidhan kama hlo swala linaeza mfanya akuache otherwise ana matatzo
Sa hv kwel unatafta unene unajitahd kula lakn ndo hvo kunenepa s kula tu hv kama hujasettle unawaza maisha haya unataka unenepeje mm n kama ww nilmalza advance nko vzur tu nmenenepa sasa baada ya kuanza chuo pilika za chuo msuli kwel nilkuwa msikule yan nguo zote nilkuwa navaa hazijawah nitosha ad wa leo yan nko skeleton kama ww niljitahd kula vzur cjui kufanyaje ila cjawh ongeza nyama nna mwaka sasa tangu nimalze chuo sion mabadiliko yoyote nmeamua kusubir huo unene mpaka utakapotaka mwenyewe nmeridhika na mmewangu inabid aridhike japo na yy jtihada kama zote