Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,197
ooouh..kibonge kuzito....Me heavy...
ooouh..kibonge kuzito....Me heavy...
Me kibonge mwepethiii..😋ooouh..kibonge kuzito....
Upo poa mbona.Futi 5.8
Tuwekee sampuli ya pichaIla hata mimi mwanaume mwembamba sana simtaki..
Ingekuwa inawezekana ningekupunguzia nyama zangu kidogo
-Kibonge cha kike kipendeze kiwe na chura.Me kibonge mwepethiii..![]()
Tuwekee sampuli ya picha
Kwa uzito huo na urefu huo you ar underweight my son accordin to biomass index unatikiwa atlist uwe 70kg by the way we are sailing in the same boat tofaut yetu ni kwamba mimi siachwi ila nang'oa balaaFuti 5.8
Ya aina ya wembamba ambao hauupendiPicha ya nini tena?
Ya mtoto wa kiziguaPicha ya nini tena?
unalalaga saa ngap mkuuMimi pia mwembamba mkuu, changamoto pekee binafsi nakutana nazo,watu wananisihi niache kufanya mazoez..eti kutokana na huu wembamba ntakufa.
Maana nina tendency ya kuamka daily sa kumi na moja kasoro alfajir...tangu nkiwa chuo hata baada ya kuanza kazi
😩😩😩-Kibonge cha kike kipendeze kiwe na chura.
-Cha kiume kiwe na baby face.
-Kibonge cha kike kipendeze kiwe na chura.
-Cha kiume kiwe na baby face.
Aiseeh huyu nani?Ya mtoto wa kiziguaView attachment 920236
Nisaidie kuuliza tatizo hapo juu.Hahahahaaa