Msaada wenu wa haraka, wembamba unaninyima amani

inamaana humu jf kila member amesoma mpaka chuo?

Wacheni ulimbukeni wa kutaja vyuo tu pasi na ulazima
Watu mna mawazo gani? Kasema chuo hajasema chuo gani..mbona vyuo vingi tu? Hata udereva ni chuo, mkuu huu ni umama , nisamehe....

Watu kama nyinyi mnasababisha sisi na PhD zetu 😁😁😁😁😁😁😁tukae kimya kisa maneno yenu
 
Wewe mleta Mada kula vizuri na ufanye mazoezi Nina ushuhuda.

Kuna kaka nilikutana nae 2015 yesuuu na maria, alikuwa mrefuuu sana , mwembaaaa alikuwa anakuja offisin kutafuta Wateja ndo alikuwa ameanza kazi kama sales, baada ya hapo sikumuona tena. Ila nilikuwa mawasiliano nae Mara moja moja, nikipa Wateja nawadirect kwake, yaan tukawa kama ndugu, najua lugha yake so ananichukulia kama Dada, na mm namuona kama kaka .

Nilikuja kukutana na face to face mwisho ni mwa mwaka Jana yesuuuuuu jamani kajaa vizuriii aisee nikisema vizuri sina utani, hana kitambi , anajua kuvaaaa na vile ashakuwa na cheo dah naomba niishie hapa.

Mashoga zangu wakiniona nae kila MTU anataka no yake, MTU mwenyewe ana gf, sijui niwape no zake wapambane nae😁😁😁😁

Mleta Mada fanya kula misosi ya maana kama pesa haikusumbui utuletee mrejesho, utendee haki urefu wako loh!
 
Back
Top Bottom