Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Mdanganye tukula mdudu pendwa mara 3 kwa week nakupa miez 6 tu utakuwa kama container
Mdanganye tukula mdudu pendwa mara 3 kwa week nakupa miez 6 tu utakuwa kama container
Kama upo hivi u mwembamba halafu mnyonge....Hii hapo ni mfano tu, ila sio yanguView attachment 920239
Kweli unazo.
Nipm nikupunguzie nyama
Hahahah![]()
![]()
![]()
mpunguzie ili nae awe kakibonge
Ya mtoto wa kiziguaView attachment 920236
MziguaAiseeh huyu nani?
Kaka yaaaani sijui unejuaje aki ya mungu daaah nimebaki nakufikilia ingawaje sikujui, na nina bahati sana ya kupata wa pande zileHao mabinti lazima wawe wa kule kwenye mlima mrefu Afrika. Nasikia heri uende ukiwa mnene hata km huna pesa. Unene ndo sign ya mafanikio sehemu nyingi huku Africa kwetu
Sa tatu mkuu..Mara baada ya taarfa ya habari ya sa mbili.unalalaga saa ngap mkuu
dah safi sana asee,,mi nataman sna kuamka mapema ila kulala mapema ndo zoez ssSa tatu mkuu..Mara baada ya taarfa ya habari ya sa mbili.
Njoo kwangu mzigua mwenzako ingawa ww sijui mzigua wa wap. Nina unene wa kutosha kabisa
Aisee,unapenda dudu kubwa?Unene kote kote? Kuanzia kwenye pochi mpaka hiyo jina la pili kwenye ID yako?
Hebu rudia calculation zako. Kwa urefu wa futi 5'8 na uzito wa Kilo 59 ni sawa na BMI ya 20 ambayo tayari iko within normal range. Hapo ni kwa formula ya weight (kg)/height(m) squared. Labda uzee umenisahaulisha formula. Hivyo uzito wake upo sawa tu kulingana na urefu wake.Kwa uzito huo na urefu huo you ar underweight my son accordin to biomass index unatikiwa atlist uwe 70kg by the way we are sailing in the same boat tofaut yetu ni kwamba mimi siachwi ila nang'oa balaa
Sasa kwani kusoma chuo ni ajabu ya ngapi ya dunia? Kila mwenye akili timamu anaweza kufanya hivyo, sasa kama kwenu hamna sifa hiyo ni tatizo lenu.inamaana humu jf kila member amesoma mpaka chuo?
Wacheni ulimbukeni wa kutaja vyuo tu pasi na ulazima
Aisee,unapenda dudu kubwa?