Wycliff_Lowassa
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 436
- 611
Dogo kula Sana Mdudu Na Kula Sana BIA a.k.a NGANO utanenepa Fasta Sana.
Huo mti mkavu shoo wangu..maana sio kwa Heineken zile na nyama choma...lakini wapii umedanda palepale lol...tubadilishane basi😂Choka mie nataka kuwa chibonge mie
Cute B unajua Nilikuwa najua ww Mke wa Mtu aisee.Kweli itabidi unipe mawasiliano kabisa.
Nije nizichukue. Maana Mimi nimeachwa Mara nyingi sana kisa wembamba.

Huo mti mkavu shoo wangu..maana sio kwa Heineken zile na nyama choma...lakini wapii umedanda palepale lol...tubadilishane basi![]()

Nimecheka kwa nguvu woiii huu mti kiboko jamaniKweli itabidi unipe mawasiliano kabisa.
Nije nizichukue. Maana Mimi nimeachwa Mara nyingi sana kisa wembamba.
Mti wa hisopo huo hauchundi miaka 800.....wozzahhh😂😂hadi kristo anarudi uko vilevile...tyeeeinaa$$Nimecheka kwa nguvu woiii huu mti kiboko jamani

)Madhara yake ni kupata njaa Mara kwa Mara. cute b baaaado tu hujanenepa mpaka sasa hivi?!?!Havina madhara kwa binadamu?
Bado mkuu.Madhara yake ni kupata njaa Mara kwa Mara. cute b baaaado tu hujanenepa mpaka sasa hivi?!?!
Pole ndugu, wewe unaomba unene wenzio wanaomba wembamba, jamani hii dunia kila mmoja na hitaji lakeHabarini za muda huu, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunapata chakula cha siku kwa familia na binafsi
.
.
Niende kwenye point moja kwa moja:
.
.
.
Mimi ni kijana umri wangu ni range (25--30), mpaka sasa nimeshapitia mahusino na mabinti watatu, nina urefu wa kutosha (sio kama hashim thabiti no), ila tatizo linakuja kwenye umbile la mwili wangu nimekuwa na changamoto kadha wa kadha
.
.
Kwenye familia yangu baba yangu Ana mwili wa kutosha na amepanda ewani vizuri sana, mama yangu hana mwili wa kutosha ni mwembamba
.
.
Binti wa kwanza, aliniacha kwa kuwa alipenda sana ninenepe na niwe na nyama nyama za kutosha ila haikuwa ivyo nilidumu nae kwa mwaka mmoja akaniacha
.
.
Binti wa pili, uyu alinishauri sana nile vizuri ninenepe, ila haikuwa ivyo tukaachana (kwa sababu nyingine tofauti na wembaba ingawaje alikuwa akinisisitiza sana ninenepe)
.
.
Uyu wa tatu nilimpenda mno tena mno ametoka kuniacha Nina week ya nne sasa (mwezi mmoj), uyu alinishauri Nile mayai, uji wa ulezi na maziwa..kwa mazingira nilikuwepo sikuweza kubalance ivyo chakula kwa sababu,
.
.
Nilichaguliwa kusoma chuo kikuu cha dodoma, collage of informatics, course ya computer engineering
.
.
Nilikutana na masomo magumu mno na changamoto ya chuo (collage ya informatics )ilikuwa ikinipa pressure muda wote
.
.
Kulingana na changamoto za chuo sikujali kuhusu wembaba wangu tena
Baada ya uyu binti wa tatu kuona bado nipo vilevile akaamua kunitafutia sababu na kuachana na mimi (ila Nina uhakika wa asilimia 95.5%) nimeachwa kwa ajili ya huu wembaba
.
.
Nimemaliza chuo mwaka huu, na matokeo yametoka poa nasubili graduu tu, sina tena streess nipo happy kabisa!!
Naombeni msaada wenu ni njia zipi nizifate angalu nipate mwili-mwili, sitaki kuwa kibonge sana ila napenda kuwa na nyama za wastani
Naombeni maoni yetu
Asante na mungu awabariki
Hahahaaa mzigua acha mambo yakoIla hata mimi mwanaume mwembamba sana simtaki..
Ingekuwa inawezekana ningekupunguzia nyama zangu kidogo
hauja feli tu maana kwa bandiko hili una sifa za kuwa na Sapu hata zoteHabarini za muda huu, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunapata chakula cha siku kwa familia na binafsi
.
.
Niende kwenye point moja kwa moja:
.
.
.
Mimi ni kijana umri wangu ni range (25--30), mpaka sasa nimeshapitia mahusino na mabinti watatu, nina urefu wa kutosha (sio kama hashim thabiti no), ila tatizo linakuja kwenye umbile la mwili wangu nimekuwa na changamoto kadha wa kadha
.
.
Kwenye familia yangu baba yangu Ana mwili wa kutosha na amepanda ewani vizuri sana, mama yangu hana mwili wa kutosha ni mwembamba
.
.
Binti wa kwanza, aliniacha kwa kuwa alipenda sana ninenepe na niwe na nyama nyama za kutosha ila haikuwa ivyo nilidumu nae kwa mwaka mmoja akaniacha
.
.
Binti wa pili, uyu alinishauri sana nile vizuri ninenepe, ila haikuwa ivyo tukaachana (kwa sababu nyingine tofauti na wembaba ingawaje alikuwa akinisisitiza sana ninenepe)
.
.
Uyu wa tatu nilimpenda mno tena mno ametoka kuniacha Nina week ya nne sasa (mwezi mmoj), uyu alinishauri Nile mayai, uji wa ulezi na maziwa..kwa mazingira nilikuwepo sikuweza kubalance ivyo chakula kwa sababu,
.
.
Nilichaguliwa kusoma chuo kikuu cha dodoma, collage of informatics, course ya computer engineering
.
.
Nilikutana na masomo magumu mno na changamoto ya chuo (collage ya informatics )ilikuwa ikinipa pressure muda wote
.
.
Kulingana na changamoto za chuo sikujali kuhusu wembaba wangu tena
Baada ya uyu binti wa tatu kuona bado nipo vilevile akaamua kunitafutia sababu na kuachana na mimi (ila Nina uhakika wa asilimia 95.5%) nimeachwa kwa ajili ya huu wembaba
.
.
Nimemaliza chuo mwaka huu, na matokeo yametoka poa nasubili graduu tu, sina tena streess nipo happy kabisa!!
Naombeni msaada wenu ni njia zipi nizifate angalu nipate mwili-mwili, sitaki kuwa kibonge sana ila napenda kuwa na nyama za wastani
Naombeni maoni yetu
Asante na mungu awabariki
Mbona uko poa, sema tu hujiaminiHii hapo ni mfano tu, ila sio yanguView attachment 920239
Hahaha mbona mwandiko wako kama wa panic vileinamaana humu jf kila member amesoma mpaka chuo?
Wacheni ulimbukeni wa kutaja vyuo tu pasi na ulazima