Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,666
- 6,742
Jiangalie rinda dogoSasa kwani kusoma chuo ni ajabu ya ngapi ya dunia? Kila mwenye akili timamu anaweza kufanya hivyo, sasa kama kwenu hamna sifa hiyo ni tatizo lenu.
Jiangalie rinda dogoSasa kwani kusoma chuo ni ajabu ya ngapi ya dunia? Kila mwenye akili timamu anaweza kufanya hivyo, sasa kama kwenu hamna sifa hiyo ni tatizo lenu.
hahahaMdanganye tu
Wewe ukoje mkuuIla hata mimi mwanaume mwembamba sana simtaki..
Ingekuwa inawezekana ningekupunguzia nyama zangu kidogo
Ikiwezekana nipunguzie na Mimi.Ila hata mimi mwanaume mwembamba sana simtaki..
Ingekuwa inawezekana ningekupunguzia nyama zangu kidogo
Havina madhara kwa binadamu?Tembelea duka la kilimo na mifugo nunua vidonge vya Multivitamin vya nguruwe, meza kimoja asubuhi na jioni.
NB: Andaa chakula cha kutosha kabla na baada ya kumeza. Meza kwa mwezi mmoja then njoo utupe mrejesho
5AM club... hongera mkuu thats the life...Mimi pia mwembamba mkuu, changamoto pekee binafsi nakutana nazo,watu wananisihi niache kufanya mazoez..eti kutokana na huu wembamba ntakufa.
Maana nina tendency ya kuamka daily sa kumi na moja kasoro alfajir...tangu nkiwa chuo hata baada ya kuanza kazi
Ahsantee mkuu,vp na ww ni mdau kumbe5AM club... hongera mkuu thats the life...
Teh!kula mdudu pendwa mara 3 kwa week nakupa miez 6 tu utakuwa kama container
Sana tu mkuu mi daily alarm yangu ni 04:50.... kuna jamaa anaitwa jocko willink ushamskia ? Anapromote sana hii lifestyle anakwambia u must wake up before the enemyAhsantee mkuu,vp na ww ni mdau kumbe
Ikiwezekana nipunguzie na Mimi.
Kweli itabidi unipe mawasiliano kabisa.Njoo uchukue.. nyama zangu sizitaki
Mimi napenda sana wembamba wavulana yaani warefu wastani utazani wanakufa kumbe ni miili yao.Habarini za muda huu, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunapata chakula cha siku kwa familia na binafsi
.
.
Niende kwenye point moja kwa moja:
.
.
.
Mimi ni kijana umri wangu ni range (25--30), mpaka sasa nimeshapitia mahusino na mabinti watatu, nina urefu wa kutosha (sio kama hashim thabiti no), ila tatizo linakuja kwenye umbile la mwili wangu nimekuwa na changamoto kadha wa kadha
.
.
Kwenye familia yangu baba yangu Ana mwili wa kutosha na amepanda ewani vizuri sana, mama yangu hana mwili wa kutosha ni mwembamba
.
.
Binti wa kwanza, aliniacha kwa kuwa alipenda sana ninenepe na niwe na nyama nyama za kutosha ila haikuwa ivyo nilidumu nae kwa mwaka mmoja akaniacha
.
.
Binti wa pili, uyu alinishauri sana nile vizuri ninenepe, ila haikuwa ivyo tukaachana (kwa sababu nyingine tofauti na wembaba ingawaje alikuwa akinisisitiza sana ninenepe)
.
.
Uyu wa tatu nilimpenda mno tena mno ametoka kuniacha Nina week ya nne sasa (mwezi mmoj), uyu alinishauri Nile mayai, uji wa ulezi na maziwa..kwa mazingira nilikuwepo sikuweza kubalance ivyo chakula kwa sababu,
.
.
Nilichaguliwa kusoma chuo kikuu cha dodoma, collage of informatics, course ya computer engineering
.
.
Nilikutana na masomo magumu mno na changamoto ya chuo (collage ya informatics )ilikuwa ikinipa pressure muda wote
.
.
Kulingana na changamoto za chuo sikujali kuhusu wembaba wangu tena
Baada ya uyu binti wa tatu kuona bado nipo vilevile akaamua kunitafutia sababu na kuachana na mimi (ila Nina uhakika wa asilimia 95.5%) nimeachwa kwa ajili ya huu wembaba
.
.
Nimemaliza chuo mwaka huu, na matokeo yametoka poa nasubili graduu tu, sina tena streess nipo happy kabisa!!
Naombeni msaada wenu ni njia zipi nizifate angalu nipate mwili-mwili, sitaki kuwa kibonge sana ila napenda kuwa na nyama za wastani
Naombeni maoni yetu
Asante na mungu awabariki
Mimi pia nilimshangaa kimya kimyaHebu rudia calculation zako. Kwa urefu wa futi 5'8 na uzito wa Kilo 59 ni sawa na BMI ya 20 ambayo tayari iko within normal range. Hapo ni kwa formula ya weight (kg)/height(m) squared. Labda uzee umenisahaulisha formula. Hivyo uzito wake upo sawa tu kulingana na urefu wake.
Kweli itabidi unipe mawasiliano kabisa.
Nije nizichukue. Maana Mimi nimeachwa Mara nyingi sana kisa wembamba.
Dah SalaleeeTembelea duka la kilimo na mifugo nunua vidonge vya Multivitamin vya nguruwe, meza kimoja asubuhi na jioni.
NB: Andaa chakula cha kutosha kabla na baada ya kumeza. Meza kwa mwezi mmoja then njoo utupe mrejesho
