Msaada wenu tafadhali

Msaada wenu tafadhali

Mtu akikupiga kofi shavu la kulia mgeuzie na lakushoto,,kesho beba tena pochi halafu pita palepale halafu wanavokuibia wakariri sura
 
Shikamoon wakubwa zangu.

Juzi jumamosi nimeibiwa Pochi yangu na watu waliokuwa kwenye bodaboda Maeneo ya Tabata bima
Kwakweli Kwa umasikini wangu nimeumia Sana.

Pochi yenyewe ina Thamani ya 35000
Pia kulikuwa na simu Samsung S22,pesa tasilimu 780000 nilizoagizwa nikanunue Mahitaji ya nyumbani pamoja na
Cheni niliyopewa na mama yangu pamoja na vitu vingine

Sasa toka juzi familia imeninunia hakuna anayeamini nimeibiwa na Mimi hapa msaada wenu naomba nielekezwe mganga wa maana sina utan hata mkoani naenda sina huruma PM iko wazi namba ya mganga nataka
Mimi ni Mganga Konki. Utayaweza masharti yangu? Baadhi ya dawa utatakiwa kuwekewa mwilini na mimi mwenyewe kupitia njia ya kuunganisha viungo vya mwili.
 
Tangazo limekaa kimkakati sana, kwa wasioelewa hili tangazo, hapa anatafutwa Mume na danga kwa wakati mmoja... wenye sifa tajwa nendeni pm
 
Marry Dikompoza kwa mara nyinngine tena [emoji81][emoji81]

Wewe sio maskini hiyo 780000 ya kununua vitunguu na mboga wenzako mitaji hiyo..!!

Nomadiq unaitwa piemuni ukatoe namba za mganga usijifanye hujaona uzi [emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] DA marry kajipata, 780k ya madiko diko ya home.

Je Kipako kitakua cha wapi anatumia? Mletee OG za Norway, awe km range ya Haaland.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shikamoon wakubwa zangu.

Juzi jumamosi nimeibiwa Pochi yangu na watu waliokuwa kwenye bodaboda Maeneo ya Tabata bima
Kwakweli Kwa umasikini wangu nimeumia Sana.

Pochi yenyewe ina Thamani ya 35000
Pia kulikuwa na simu Samsung S22,pesa tasilimu 780000 nilizoagizwa nikanunue Mahitaji ya nyumbani pamoja na
Cheni niliyopewa na mama yangu pamoja na vitu vingine

Sasa toka juzi familia imeninunia hakuna anayeamini nimeibiwa na Mimi hapa msaada wenu naomba nielekezwe mganga wa maana sina utan hata mkoani naenda sina huruma PM iko wazi namba ya mganga nataka
kama unaikumbuka email nitumie nicheze na ip address tu, hata kama alieiba akiflash kitendo cha kuweka laini yake tu itanipa location ya simu ilipo....
 
Mganga wa nini, wewe cha kufanya rudi mtaa ule ule vaa ktk namna tofauti kwasababu wao wanakujua wakikuona.
Chukua boda mmoja ambae anaonekana ni muhuni muhuni akupeleke sehemu isiyo na watu mtie chupa ya matako dakika sifuri tu anakutajia watu waliokuibia na sehemu wanayopatikana.
HURUMA SIO MALEZI ukiweza UA
 
Back
Top Bottom