Msaada wenu tafadhali

Msaada wenu tafadhali

Pole sana Mary Diana. Ila wewe mwenyewe ulisema kuna watu wanajipa umuhimu kwenye maisha ya watu. Sasa naona hata tukikusaidia, huenda tukaonekana tunajipendekeza au tunajipa nafasi ambayo hatuna.

Tumeheshimu ulichosema, na hatutaki kujilazimisha kwenye maisha ya mtu ambaye tayari ametuonyesha kwamba hatuhitajiki.
Mbona unaweka wingi wakati kuna watu nawasiliana nao vizuri na hata alipo mganga nishaelekezwa
 
Kama hicho kidogo ulichopoteza unataka kwenda kwa Mganga,

Basi huko kwa Mganga unakotaka kwenda utaibiwa kila kitu na utalia kilio ambacho hakuna wa kukubembeleza.

Hesabu hasara na uendelee na Maisha yako, Pesa zinatafutwa.

Kama umeona Kichuguu umestuka hvyo, basi huko utaenda kuuona Mlima na utakufa kabisa - Mulin
Mmmh
 
Pochi yenyewe ina Thamani ya 35000
Pia kulikuwa na simu Samsung S22,pesa tasilimu 780000 nilizoagizwa nikanunue Mahitaji ya nyumbani pamoja na
Cheni niliyopewa na mama yangu pamoja na vitu vingine

Ila JF.

Shiling 780k ninadhani ni ilikuwa kwaajili kununua mahitaj ya home . Mostly Chakula.
ila mbona ni nying sana?.
Au mko kama bwen?😊😊😊😊.
 
Hawanisemeshi macho Yao ya husuda wanadhani nimewafanyia mchezo
Hakika Mungu yupo kama unasema unachokimaanisha mioyoni mwao huwa na aman lkn kama unadanganya na ni tabia yako inajirudia basi wataendelea kukutilia shaka na ukiwa na mabadiliko kidgo tu utahukumiwa

Uwe na aman ya bwana
 
Ila JF.

Shiling 780k ninadhani ni ilikuwa kwaajili kununua mahitaj ya home . Mostly Chakula.
ila mbona ni nying sana?.
Au mko kama bwen?😊😊😊😊.

Mahitaji ya home inaweza kuwa fridge ama some other electronic equipment

Ama ukisikia mahitaji ya home unadhani ni nyanya na vitunguu baaas?
 
Back
Top Bottom