Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,486
- 9,868
Mahitaj iko pana sana.Kwani nini maana ya hitaji? 🤦♀️
Ila tumezoea ukisema naenda nunua mahitaji ya home, unaenda kununua vitu vinavyotumika na kuisha.
Kama chakula. Gesi, sabuni na vitu vya aina hiyo.
Na sio kununua Makochi, TV au Fridge.