Msaada wenu tafadhali

Msaada wenu tafadhali

Shikamoon wakubwa zangu.

Juzi jumamosi nimeibiwa Pochi yangu na watu waliokuwa kwenye bodaboda Maeneo ya Tabata bima
Kwakweli Kwa umasikini wangu nimeumia Sana.

Pochi yenyewe ina Thamani ya 35000
Pia kulikuwa na simu Samsung S22,pesa tasilimu 780000 nilizoagizwa nikanunue Mahitaji ya nyumbani pamoja na
Cheni niliyopewa na mama yangu pamoja na vitu vingine

Sasa toka juzi familia imeninunia hakuna anayeamini nimeibiwa na Mimi hapa msaada wenu naomba nielekezwe mganga wa maana sina utan hata mkoani naenda sina huruma PM iko wazi namba ya mganga nataka
Pole sana, madam
 
Mimi mbona walishapita na simu yangu ila walibaki kucheka tu hadi wakarudisha wenyewe. Yaan nimepaki gari nimeshuka nataka kuvuka lami nafka rough road hawa hapa wamepita na simu yangu hapo hapo nkachota mchanga wa alama za tairi kumbe wananicheki tu na uzuri nilikuwa na kitambaa cheupe pe mfukoni nkafunga fasta na kurudi nilikotoka tena speed mia tano nafka kwenye garg naingia tu hawa hapa ati bro samahani haturudii tena. Hadi wa leo nabaki kucheka na ilikuwa tar 22 dec 2022.
Sasa kusema ukweli na wewe sitakucheka coz yalinikuta mimi. Waganga wapo ila tena hawapo. Hiyo hela ni nyingi ila ukitaka upate vitu zako rudi huko huko ulikoibiwa hatakosa mtu aliyeona tukio then utangaze kuwa atakayekutajia hao watu laki 2 chap uone bt usiripoti karibu na kituo cha polis cha karibu ripot cha mbali kidogo coz wana..... nao
 
Marry Dikompoza kwa mara nyinngine tena 😹😹

Wewe sio maskini hiyo 780000 ya kununua vitunguu na mboga wenzako mitaji hiyo..!!

Nomadiq unaitwa piemuni ukatoe namba za mganga usijifanye hujaona uzi 😹😹
Nina dipresheni Lamomy niazime buku 🥲
 
Utaenda kuliwa huko na kupewa magonjwa waganga wanatumia mashine ya kukoboa kuweka dawa bora upotezee tu ila hiyo 780,000 ulikua unaenda kununua mahitaji gani ya nyumbani..
 
Mganga ameenda kusali binti subiri arudi
 
Shikamoon wakubwa zangu.

Juzi jumamosi nimeibiwa Pochi yangu na watu waliokuwa kwenye bodaboda Maeneo ya Tabata bima
Kwakweli Kwa umasikini wangu nimeumia Sana.

Pochi yenyewe ina Thamani ya 35000
Pia kulikuwa na simu Samsung S22,pesa tasilimu 780000 nilizoagizwa nikanunue Mahitaji ya nyumbani pamoja na
Cheni niliyopewa na mama yangu pamoja na vitu vingine

Sasa toka juzi familia imeninunia hakuna anayeamini nimeibiwa na Mimi hapa msaada wenu naomba nielekezwe mganga wa maana sina utan hata mkoani naenda sina huruma PM iko wazi namba ya mganga nataka
Pole sana inaonekana sio boda boda bali ni linjemba uliloelewana nalo nikakunyandue ndio limekuibia ukiwa guest house, wewe sio wa kuibiwa na boda, pia naona kama unaleta drama mara kuna cheni ya mama ako, mara hela ya kununulia mboga...
 
Back
Top Bottom