Msaada: Wazazi wamenitelekeza baada ya kuanza chuo

Mimi ni mwanachuo kutoka chuo kikuu cha mliman na ninasoma B.com in tourism and hospitality management ila toka imekuja chuon kutoka kigoma wazazi wangu hawajawahi kuniuliza maendeleo yangu ya hapa chuoni ile hali naona mambo kwangu hayako sawa hasa upande wa kimasomo kwani yameniwea magumu kwa sababu ya kutokuwa na msingi nayo, sasa naomba mnishauri hivi kinachofanywa na wazazi wangu hao ni sahihi??

Maana ipo inafika mahala nakata tamaa maana mambo magumu na bado wazazi wangu kama wamenitenga hivi maana huwa nawaza sana hadi kupelekea kutokuwa makini tena kwenye masomo yangu.
Kwani unasoma kwa manufaa ya wazazi wako? Jitambue dogo.
 
Moral support kutoka kwa wazazi huleta baraka kubwa ktk maendeleo ya mtoto au na hapo hujanielewa
Mpaka umefika chuo kikuu ina maana umepata support ya kutosha toka kwa wazazi wako. Sasa ww ni mtu mzima acha lawama zisizo na maana.
 
"Ukikaa sana chini ya Mti, jua ndege atakunyea!" Madee Ally
 
Tourism and hospitality management inakuwia ugumu basi nenda kasome front office management.
 
Mimi ni mwanachuo kutoka chuo kikuu cha mliman na ninasoma B.com in tourism and hospitality management ila toka imekuja chuon kutoka kigoma wazazi wangu hawajawahi kuniuliza maendeleo yangu ya hapa chuoni ile hali naona mambo kwangu hayako sawa hasa upande wa kimasomo kwani yameniwea magumu kwa sababu ya kutokuwa na msingi nayo, sasa naomba mnishauri hivi kinachofanywa na wazazi wangu hao ni sahihi??

Maana ipo inafika mahala nakata tamaa maana mambo magumu na bado wazazi wangu kama wamenitenga hivi maana huwa nawaza sana hadi kupelekea kutokuwa makini tena kwenye masomo yangu.
Wewe dogo ni jinga sana, tumetoka wenzio mbaali, tukiweka historia zetu hapa huenda tutaitwa majasusi
 
Wazazi wako wanaassume kuwa wewe ni mtu mzima kumbe bado wewe ni totoo na unahitaji upendo wao na uangalizi wao!
 
Mimi ni mwanachuo kutoka chuo kikuu cha mliman na ninasoma B.com in tourism and hospitality management ila toka imekuja chuon kutoka kigoma wazazi wangu hawajawahi kuniuliza maendeleo yangu ya hapa chuoni ile hali naona mambo kwangu hayako sawa hasa upande wa kimasomo kwani yameniwea magumu kwa sababu ya kutokuwa na msingi nayo, sasa naomba mnishauri hivi kinachofanywa na wazazi wangu hao ni sahihi??

Maana ipo inafika mahala nakata tamaa maana mambo magumu na bado wazazi wangu kama wamenitenga hivi maana huwa nawaza sana hadi kupelekea kutokuwa makini tena kwenye masomo yangu.
Kabla ya yote Hiyo course unayosoma haina ajira kabisaaa, jiandae kisaikolojia kujiajiri au kufanya kazi nyingine otherwise utasota sana mtaani kusaka ajira bila mafanikio.

Naongea Hivi kutokana na experience tena kwa vitendo!

Utaungana ba vijana wenzako wq Kigoma kuuza karanga ba kahawa mtaani!
 
Mimi ni mwanachuo kutoka chuo kikuu cha mliman na ninasoma B.com in tourism and hospitality management ila toka imekuja chuon kutoka kigoma wazazi wangu hawajawahi kuniuliza maendeleo yangu ya hapa chuoni ile hali naona mambo kwangu hayako sawa hasa upande wa kimasomo kwani yameniwea magumu kwa sababu ya kutokuwa na msingi nayo, sasa naomba mnishauri hivi kinachofanywa na wazazi wangu hao ni sahihi??

Maana ipo inafika mahala nakata tamaa maana mambo magumu na bado wazazi wangu kama wamenitenga hivi maana huwa nawaza sana hadi kupelekea kutokuwa makini tena kwenye masomo yangu.
Nakumbuka nilipokua mwaka wa kwanza chuoni katika fani ya uhandisi daah yani naingia darasani nakutana na mavitu sijui yametokea nchi gani yani ni pure mechanics ambayo sikuwahi iona popote pale zaidi ya pale chuoni, mbaya zaidi mwalimu anakatisha tamaa vibaya sana unapewa makavu as if yeye hakuwahi kuwa mwanafunzi!!

Lakini baada ya kukaa na kutafakari na kushauriana na "academic advisor wangu by that time", akanipa moyo na kuniambia its normal hasa kwa sisi tuliotokea form6!!

Kutokea ile siku nikabadilisha mfumo wa usomaji kutoka kusoma mwenyewe mpaka kusoma kwa ma group yaani discussion, uzuri wa hii njia mnakutana na wenzako ambao wana uwezo tofauti so mki share mawazo unakuta umetoka na kitu!!!

Long story short nilitamani kuacha chuo nirudi nyumban nikaombe tena TCU maana nilikua sielewi kitu!!! mpaka nilipo badili mfumo wa usomaji ndio mambo yakabadilika!!!

Achilia mbali changamoto nilizopitia ila kwa sasa mimi ni mhandisi na kama ningeta tamaa kwa sasa sijui hata ningekua wapi!!!

USHAURI WANGU KWAKO!

1. Nenda kwa academic advisor wako kama mlipangiwa(hata kama hamjapangiwa nenda kwa mwalimu yeyote unayeona anaweza kukusaidia), mwambie A to Z kuhusu hali yako nnauhakika atakusaidia sana maana yeye sio tu mwalimu ila ana act kama mlezi wako kimasomo!!

2. Badilisha mfumo wako wa kusoma, achana na msuli yatima, unda/jiunge na discussion groups!!

3. Wazazi watafute kwa simu usingoje wao ndio wakutafute!

4. Kila mtu kuna kipindi alitamani kukata tamaa ila waliofanikiwa ni wale ambao achilia mbali kutamani kukata tamaa ila walikomaa mpaka kikaeleweka!!
 
Pole.Ila ni jukumu lako kuwapa taarifa.
Otherwise stay strong.Hakuna asiyependa affection especially kutoka kwa wazazi.
Mshukuru Mungu hata una hao wazazi.

Halafu wazazi wako wana assume huna shida kwanza wewe ni mtoto wa kiume so hutapata ujauzito.
Pili unapata boom na tatu unaishi dar.
So what is the worst-case scenario?? Labda ujiue kisa mapenzi au udisco.
Wao wanachojua everything is in control since ni maisha uliyoyatamani kwa muda mrefu.

So believe me,wanawaza zaidi probably maisha yao ya kila siku na kulea wadogo zako kama unao kuliko kukuwaza wewe,a 20+ grown boy.

Stay strong.
 
Mimi ni mwanachuo kutoka chuo kikuu cha mliman na ninasoma B.com in tourism and hospitality management ila toka imekuja chuon kutoka kigoma wazazi wangu hawajawahi kuniuliza maendeleo yangu ya hapa chuoni ile hali naona mambo kwangu hayako sawa hasa upande wa kimasomo kwani yameniwea magumu kwa sababu ya kutokuwa na msingi nayo, sasa naomba mnishauri hivi kinachofanywa na wazazi wangu hao ni sahihi??

Maana ipo inafika mahala nakata tamaa maana mambo magumu na bado wazazi wangu kama wamenitenga hivi maana huwa nawaza sana hadi kupelekea kutokuwa makini tena kwenye masomo yangu.
Acha UJINGA dogo, kwani umeona Wazazi wako ndio wenye wajibu wa kukuuliza wewe mambo yako yanaendaje?? Wewe umechukua hatua gani kuwashirikisha?? Ninyi ndio mnaenda vyuo vikuu kutafuta vyeti tu pasipo kujua hata mnachokitaka. Afterall, wewe ni mtu mzima fanya unachoona kinakufaa kama unaona kusoma UTALII NA UKARIMU ni vigumu ACHA CHUO KAUZE SAMAKI FERRY.
 
Nakumbuka nilipokua mwaka wa kwanza chuoni katika fani ya uhandisi daah yani naingia darasani nakutana na mavitu sijui yametokea nchi gani yani ni pure mechanics ambayo sikuwahi iona popote pale zaidi ya pale chuoni, mbaya zaidi mwalimu anakatisha tamaa vibaya sana unapewa makavu as if yeye hakuwahi kuwa mwanafunzi!!

Lakini baada ya kukaa na kutafakari na kushauriana na "academic advisor wangu by that time", akanipa moyo na kuniambia its normal hasa kwa sisi tuliotokea form6!!

Kutokea ile siku nikabadilisha mfumo wa usomaji kutoka kusoma mwenyewe mpaka kusoma kwa ma group yaani discussion, uzuri wa hii njia mnakutana na wenzako ambao wana uwezo tofauti so mki share mawazo unakuta umetoka na kitu!!!

Long story short nilitamani kuacha chuo nirudi nyumban nikaombe tena TCU maana nilikua sielewi kitu!!! mpaka nilipo badili mfumo wa usomaji ndio mambo yakabadilika!!!

Achilia mbali changamoto nilizopitia ila kwa sasa mimi ni mhandisi na kama ningeta tamaa kwa sasa sijui hata ningekua wapi!!!

USHAURI WANGU KWAKO!

1. Nenda kwa academic advisor wako kama mlipangiwa(hata kama hamjapangiwa nenda kwa mwalimu yeyote unayeona anaweza kukusaidia), mwambie A to Z kuhusu hali yako nnauhakika atakusaidia sana maana yeye sio tu mwalimu ila ana act kama mlezi wako kimasomo!!

2. Badilisha mfumo wako wa kusoma, achana na msuli yatima, unda/jiunge na discussion groups!!

3. Wazazi watafute kwa simu usingoje wao ndio wakutafute!

4. Kila mtu kuna kipindi alitamani kukata tamaa ila waliofanikiwa ni wale ambao achilia mbali kutamani kukata tamaa ila walikomaa mpaka kikaeleweka!!
Asante sana mhandisi nimekuelewa na nitajaribu kuufanyia kazi ushauri wako
 
Back
Top Bottom