Msaada: Wazazi wamenitelekeza baada ya kuanza chuo

lusevya

Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
30
Reaction score
12
Mimi ni mwanachuo kutoka chuo kikuu cha mliman na ninasoma B.com in tourism and hospitality management ila toka imekuja chuon kutoka kigoma wazazi wangu hawajawahi kuniuliza maendeleo yangu ya hapa chuoni ile hali naona mambo kwangu hayako sawa hasa upande wa kimasomo kwani yameniwea magumu kwa sababu ya kutokuwa na msingi nayo, sasa naomba mnishauri hivi kinachofanywa na wazazi wangu hao ni sahihi??

Maana ipo inafika mahala nakata tamaa maana mambo magumu na bado wazazi wangu kama wamenitenga hivi maana huwa nawaza sana hadi kupelekea kutokuwa makini tena kwenye masomo yangu.
 
1. Hakuna chuo kinaitwa mlimani. Ni university of Dar es salaam.

2. Mpaka umefika chuo ina maana wewe ni mtu mzima. Hebu abza kujisimamia. Mi nilidhani labda una hali ngumu kiuchumi, kumbe unataka ukaribu?

3. Komaa na shule, wazazi sio walimu. Ukiona shule inakua ngumu komaa hivyo hivyo.

Ni muda sasa wa wewe kuanza kujisimamia na kujitegemea mwenyewe!
 
Bado hujakua mkuu.. Hoja ni kwamba umeshindwa kuzingatia masomo na hapo unatafuta tuu sababu ya kuhalalisha huo uzembe wako. Tunaweza tukuelewe au tusikuelewe, haitabadili kitu katika safari yako ya kitaaluma zaidi unazidi kuharibu tuu future yako.

Wewe ndo unaejua hali ya wazazi wako huko walipo na sio sisi, na katika hali halisi hakuna mzazi anaemtup mtoto wake...na hakuna kanuni ya kwamba mzazi aanze kukutafuta wewe kwa sababu wewe ni mtu mzima tayari, unaweza kuta hata wazazi huko waliko wanafikiria kwamba wewe umebadilika na kuwatupa baada ya kufika mjini/chuo kikuu.

Acha kudekadeka
 
*Jaman mm ni mwanachuo kutoka chuo kikuu cha mliman na ninasoma b. com in tourism and hospitality management ila toka imekuja chuon kutoka kigoma wazazi wangu hawajawahi kuniuliza maendeleo yangu ya hapa chuon ile hali naona mambo kwangu hayako sawa hasa upande wa kimasomo kwan yameniwea magumu kwa sababu ya kutokuwa na msingi nayo,sasa naomba mnishauri hivi kinachofanywa na wazazi wangu hao ni sahihi?????? Maana ipo inafika mahala nakata tamaa maana mambo magumu na bado wazazi wangu kama wamenitenga hivi maana huwa nawaza sana hadi kupelekea kutokuwa makini tena kwenye masomo yangu*
wewe ni K au M
 
1. Hakuna chuo kinaitwa mlimani. Ni university of Dar es salaam.

2. Mpaka umefika chuo ina maana wewe ni mtu mzima. Hebu abza kujisimamia. Mi nilidhani labda una hali ngumu kiuchumi, kumbe unataka ukaribu?

3. Komaa na shule, wazazi sio walimu. Ukiona shule inakua ngumu komaa hivyo hivyo.

Ni muda sasa wa wewe kuanza kujisimamia na kujitegemea mwenyewe!
Umesema kweli tupu
 
Yan unalaum wazazi kwakushindwa kujitambua uwezo wako wa darasan

Tatzo lako halitibiki kama hautoweza kuongeza muda wako wa kusoma ili upate hyo basic amayo unadai huna.

Ukishindwa kabisa badili course kama muda unaruhusu...

Thanx
 
We dogo unazingua nmeona uzi wako wa kuomba msaada kua dem wako hajui kufanya mapenzi

Sasa hujui kama muda unaupotezea huko baada ya kusoma

Soma kwanza achana na mapenzi nahisi ndio solution maana kwa mtazamo wangu huwez kujisimamia mwenyewe...
 
Mmh kwahiyo nyuzi zake nyingi ni za kuomba msaada?
 
1. Hakuna chuo kinaitwa mlimani. Ni university of Dar es salaam.

2. Mpaka umefika chuo ina maana wewe ni mtu mzima. Hebu abza kujisimamia. Mi nilidhani labda una hali ngumu kiuchumi, kumbe unataka ukaribu?

3. Komaa na shule, wazazi sio walimu. Ukiona shule inakua ngumu komaa hivyo hivyo.

Ni muda sasa wa wewe kuanza kujisimamia na kujitegemea mwenyewe!
Nimekuelewa kk ila Mmmmmhhhhh
 
Umeshakuwa mtu mzima hebu jisismamie acha kulia lia
 
Bado hujakua mkuu.. Hoja ni kwamba umeshindwa kuzingatia masomo na hapo unatafuta tuu sababu ya kuhalalisha huo uzembe wako. Tunaweza tukuelewe au tusikuelewe, haitabadili kitu katika safari yako ya kitaaluma zaidi unazidi kuharibu tuu future yako.

Wewe ndo unaejua hali ya wazazi wako huko walipo na sio sisi, na katika hali halisi hakuna mzazi anaemtup mtoto wake...na hakuna kanuni ya kwamba mzazi aanze kukutafuta wewe kwa sababu wewe ni mtu mzima tayari, unaweza kuta hata wazazi huko waliko wanafikiria kwamba wewe umebadilika na kuwatupa baada ya kufika mjini/chuo kikuu.

Acha kudekadeka
Mmm maneno makali ila yenye ujumbe wa kutosha
 
Yan unalaum wazazi kwakushindwa kujitambua uwezo wako wa darasan

Tatzo lako halitibiki kama hautoweza kuongeza muda wako wa kusoma ili upate hyo basic amayo unadai huna.

Ukishindwa kabisa badili course kama muda unaruhusu...

Thanx
No muda umeshakwisha ila kwakwel na najaribu kusoma sana ila bado kwan toka nilikotoka masomo ya biashara sijawahi kusoma hivyo nimekuja kuyaanzia hapa bas yananisumbua kwel
 
We dogo unazingua nmeona uzi wako wa kuomba msaada kua dem wako hajui kufanya mapenzi

Sasa hujui kama muda unaupotezea huko baada ya kusoma

Soma kwanza achana na mapenzi nahisi ndio solution maana kwa mtazamo wangu huwez kujisimamia mwenyewe...
Nikwel nimeandika hivyo ila sio kwamba kwel mamanisha et ninadem wa namna hy hapa dar sema ni namna ya kuwaza na kujiskia niandike nn mtandaon hata kwel hy ilitokeaga kitambo kwa marafiki zangu ila elewa si maanishi kwel kk
 
Mimi ni mwanachuo kutoka chuo kikuu cha mliman na ninasoma B.com in tourism and hospitality management ila toka imekuja chuon kutoka kigoma wazazi wangu hawajawahi kuniuliza maendeleo yangu ya hapa chuoni ile hali naona mambo kwangu hayako sawa hasa upande wa kimasomo kwani yameniwea magumu kwa sababu ya kutokuwa na msingi nayo, sasa naomba mnishauri hivi kinachofanywa na wazazi wangu hao ni sahihi??

Maana ipo inafika mahala nakata tamaa maana mambo magumu na bado wazazi wangu kama wamenitenga hivi maana huwa nawaza sana hadi kupelekea kutokuwa makini tena kwenye masomo yangu.
Umeshakuwa kijana
Wanakueleza kwamba ni wakati wako wa kujitegemea na siyo kutegemea kusukumwa na mtu awaye yeyote.

Au umekutana na rafiki wa kishua kila saa anapigiwa simu na mumy yake

Baby have you take your lunch....

Sweetie how was classes today!
Ndo unataka hayo mambo?

Stay strong.
 
Cm zipo ukiwamisi wapigie sio lazma wao wakupigie na ww uwakumbuke
Ndio namaanisha wawez kunipigia hadi mm niwapigie na hata nikiwapigia hawez kuuliza kwamba unaendeleaje na wala kuujaribu kuuliza habari zozote zile za chuo kama ninaendelea vip nachuo
 
Umeshakuwa kijana
Wanakueleza kwamba ni wakati wako wa kujitegemea na siyo kutegemea kusukumwa na mtu awaye yeyote.

Au umekutana na rafiki wa kishua kila saa anapigiwa simu na mumy yake

Baby have you take your lunch....

Sweetie how was classes today!
Ndo unataka hayo mambo?

Stay strong.
No bali hata siku moja kuuliza habari zozote zile za chuo hasa ktk maendeleo yangu
 
Back
Top Bottom