Msaada: Wazazi wamenitelekeza baada ya kuanza chuo

Msaada: Wazazi wamenitelekeza baada ya kuanza chuo

Pole.Ila ni jukumu lako kuwapa taarifa.
Otherwise stay strong.Hakuna asiyependa affection especially kutoka kwa wazazi.
Mshukuru Mungu hata una hao wazazi.

Halafu wazazi wako wana assume huna shida kwanza wewe ni mtoto wa kiume so hutapata ujauzito.
Pili unapata boom na tatu unaishi dar.
So what is the worst-case scenario?? Labda ujiue kisa mapenzi au udisco.
Wao wanachojua everything is in control since ni maisha uliyoyatamani kwa muda mrefu.

So believe me,wanawaza zaidi probably maisha yao ya kila siku na kulea wadogo zako kama unao kuliko kukuwaza wewe,a 20+ grown boy.

Stay strong.
Asante sana nimekupata
 
Acha UJINGA dogo, kwani umeona Wazazi wako ndio wenye wajibu wa kukuuliza wewe mambo yako yanaendaje?? Wewe umechukua hatua gani kuwashirikisha?? Ninyi ndio mnaenda vyuo vikuu kutafuta vyeti tu pasipo kujua hata mnachokitaka. Afterall, wewe ni mtu mzima fanya unachoona kinakufaa kama unaona kusoma UTALII NA UKARIMU ni vigumu ACHA CHUO KAUZE SAMAKI FERRY.
Makavu nn
 
Mimi ni mwanachuo kutoka chuo kikuu cha mliman na ninasoma B.com in tourism and hospitality management ila toka imekuja chuon kutoka kigoma wazazi wangu hawajawahi kuniuliza maendeleo yangu ya hapa chuoni ile hali naona mambo kwangu hayako sawa hasa upande wa kimasomo kwani yameniwea magumu kwa sababu ya kutokuwa na msingi nayo, sasa naomba mnishauri hivi kinachofanywa na wazazi wangu hao ni sahihi??

Maana ipo inafika mahala nakata tamaa maana mambo magumu na bado wazazi wangu kama wamenitenga hivi maana huwa nawaza sana hadi kupelekea kutokuwa makini tena kwenye masomo yangu.

Kwa hiyo unataka wazazi waje wakusaidie kusoma baadhi ya kozi kwa niaba yako? Mwanafunzi wa Chuo kikuu bado niu mtoto?
 
Kuna watu watalaumu but mimi nilikuwa na hali ya kila mtihani nikienda fanya lazima niwe naongea na Mama, kiukweli ndio ilikuwa nafanya vizuri, japo kuna siku jumapili nilimtafuta sana mama sikumpata afu jumatatu nina pepa aisei nilikuwa na mawazo sana na ule mtihani nilipata 58%, nilipomaliza pepa nikamtafuta mama nikampata kiukweli mitihani iliyofuata nilifanya vizuri, So hayo ni mazoea tu.
Dogo wazazi hawana cha kukupa tena yaani kisheria hawana jukumu juu yako wewe sasa pambana kimaisha.
Mie nilipata tiba ya hiyo hali kwa mwanasaikolojia wa shule
 
Mimi ni mwanachuo kutoka chuo kikuu cha mliman na ninasoma B.com in tourism and hospitality management ila toka imekuja chuon kutoka kigoma wazazi wangu hawajawahi kuniuliza maendeleo yangu ya hapa chuoni ile hali naona mambo kwangu hayako sawa hasa upande wa kimasomo kwani yameniwea magumu kwa sababu ya kutokuwa na msingi nayo, sasa naomba mnishauri hivi kinachofanywa na wazazi wangu hao ni sahihi??

Maana ipo inafika mahala nakata tamaa maana mambo magumu na bado wazazi wangu kama wamenitenga hivi maana huwa nawaza sana hadi kupelekea kutokuwa makini tena kwenye masomo yangu.


Kuna Hadithi zaidi ya hapa, hakuna mzazi timamu anaweza kutelekeza mtoto wa chuo kikuu bila sababu, either hana uwezo au kuna story, hemu ilete hiyo kwanza then utaeleweka: Judge Judy "If it doesn't make sense, then it is not true"
 
Wewe hustahili kuwa chuo kikuu!

Unalaumu wazazi kutokukupigia Simu na huko unaita umetelekezwa?

Na wale ambao hawatumiwi pesa za matumizi na wazazi wao wasemeje?

Ulilazimishwa uchukue kozi hiyo?Kwanini hukuchukua kozi uliyokuwa na Msingi nayo tangu chini?

KIFUPI, Wewe ndo unapaswa uwatafute wazazi wako sio wao wakutafute wewe.

Acha tabia za kudeka
 
We nae wangekuuliza uliza kil siku ungesema ww mkubwa wanakufatilia fatilia ka mtoto komaa na shule hawataki kukutinga mbon mm nimesoma wazazi wangu walikuwa na yao had namaliza kuongea nao ni maswala ya kifedha tu
 
Back
Top Bottom