Duhhh! Kweli niko mbali na dunia
Ndiyo uuwe wanyamaumejuaje kama hana hatia gentleman?
Je,
kama kala dagaa za watu tena za buku kabisa wamuache tu?, au kama kalamba maziwa na unajua bei yake ilivyochangamka kwa sasa?, au vip kama kadokoa mboga ya watu, halafu wakati umemfumania hapo jikoni, akaimwaga kabisa hata kidogo aliyoibakiza?🐒