Habari,
Kuna paka wa jirani hapa wamempiga jiwe kiasi kwamba mguu wake mmoja hawezi kutembea tena na anamaumivu sana.
Naomba msaada nifahamu ni sehemu gani inawezekana kumpeleka akapata matibabu.
NB: Wenye paka wamemuacha kama alivyo na hawajachukua hatua yoyote ya kitabibu 😢
NAUMIA SANA...
Huko kazini, nimekutana na case ya dada ametolewa cervix (mlango wa kizazi) kwa sababu ya kujifukiza na kujiingiza mavitu ukeni.
Jamani, waambieni wanawake wasiweke vitu huko chini, athari zake ni kubwa na hakuna faida wala matokeo yoyote atayapata kwa kufanya hivyo zaidi ya kuwa na harufu...
Hakuna uwezekano wa kufanyika Mabadiliko wawe Wanachaguliwa Vijana au Wazee wa Makamu kuwa Mapapa? Na huko Vatican wakati wanachagua hawa Mapapa huwa wanakuwa Makini sana pia kuangalia na Hali zao za Kiafya kwani Wakatoliki (GENTAMYCINE nikiwemo) tumechoka na Vifo vyao vitokanavyo hasa na Afya...
Ndani ya masaa 24 nimetumia dawa zote hizo hakuna nafuu niliyopata bado sikio la upande wa kulia linauma kichizi kama mtu ananichoma na msumari tena wa moto.
Siwezi kulala, siwezi kutembea hata umbali wa hatua kumi bila ya kukaa chini ndani ya muda mfupi nimeona dunia kama hell. Nimepita picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.