Msaada wa sheria ya Code of Good Practice

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2006
Messages
5,410
Points
2,000

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2006
5,410 2,000
Siwahi kusikia sheria kama hiyo. Kama unazungumzia Corporate Governance mpaka sasa tunatumia tuu reference za watu wengine kama ECSAFA, South Africa nk.
 

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,687
Points
2,000

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,687 2,000
japo sijajua unataka nini, nashauri uingie website ya bunge. angalia kwenye documents, acts then type mwaka kama unaujua utapata choices.
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
83,915
Points
2,000

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
83,915 2,000
japo sijajua unataka nini, nashauri uingie website ya bunge. angalia kwenye documents, acts then type mwaka kama unaujua utapata choices.
Labda mimi lugha ya Kiingereza siielewi vizuri. Code of good practice.....kuna sheria ya hivyo kweli?

Ndiyo maana huwaga nasema hizi sheria zilizoandikwa kwa Kiingereza sijui zimeandikwa kwa sababu ya nani manake Watanzania wengi hatujui Kiingereza na ndiyo maana tunapata shida sana hata kuelewa kilichoandikwa.
 

EMT

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
14,483
Points
2,000

EMT

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
14,483 2,000
Tafadhali wakuu
Naomba mnisaidie kupata sheria hiyo
Nina shida nayo haraka sana.
Asanteni sana
Code of good practice sio sheria. Code of good practice ni set of rules zinazotoa majukumu au proper practice kwa prefossion fulani, organization, etc. Tofauti na sheria, code of practice are not passed by Parliament and are not universally applicabale. kwa mfano, code of practice for the Pharmaceutical Industry would not apply to the mining industry. Code of Practice for civil servants would not apply to employees in the private sector. Unaweza hata ukakuta code of practice ya hosipitali ya Muhimbili ni tofauti na code of practice ya hosipitali ya KCMC.
 

Felixonfellix

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
1,670
Points
1,195

Felixonfellix

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
1,670 1,195
Asante sana kiongozi
Je naweza kupata Code of Good Conduct and Practice ya Mining Industry na Academic Institutions?
Tafadhali msaada wako mkuuCode of good practice sio sheria. Code of good practice ni set of rules zinazotoa majukumu au proper practice kwa prefossion fulani, organization, etc. Tofauti na sheria, code of practice are not passed by Parliament and are not universally applicabale. kwa mfano, code of practice for the Pharmaceutical Industry would not apply to the mining industry. Code of Practice for civil servants would not apply to employees in the private sector. Unaweza hata ukakuta code of practice ya hosipitali ya Muhimbili ni tofauti na code of practice ya hosipitali ya KCMC.
 

PrN-kazi

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Messages
2,901
Points
1,225

PrN-kazi

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2011
2,901 1,225
FF, tulichonacho Tanzania kwasasa na kwa upande wa mambo ya Kazi hususani juu ya Nidhamu kazini: kuna Kitu kinaitwa REGULATIONS AND RULES: CODE OF CONDUCT AND CONDUCT PRACTICES kwa kujaribu kuhainisha nini kinatakiwa kufuatwa ili mahusiano mazuri kazini yaimalike na atimaye uzalishaji uimalike.
Hivyo katika hilo tembelea Ofisi za Idara Kazi au kwenye ofisi za 2ume ya Usuluhishi na Uamuzi zilizoko karibe na wewe: maelezo mazuri na kwa kina utayapata..
 

daisy

Senior Member
Joined
Jan 22, 2011
Messages
144
Points
225

daisy

Senior Member
Joined Jan 22, 2011
144 225
Ipo mwaya inaitwa THE EMPLOYMENT AND LABOUR RELATIONS (CODE OF GOOD PRACTICE) RULES,2007. ingia kwenye website ya bunge utaipata. au nenda Government Bookshop iliyo karibu yako, au kwa mwanasheria/wakili. Hata hapo kazinin kwenu HR anatakiwa awe nayo,is an important piece of legislation regarding employment and labour relations.
 

Elisante Yona

Senior Member
Joined
Oct 6, 2009
Messages
130
Points
195

Elisante Yona

Senior Member
Joined Oct 6, 2009
130 195
Ndugu wanajamii huyu jamaa aliyeleta hoja yake hapa ni sahihi kabisa,Code of good practice,rule 2007,ipo kwa mimi ni HR Manager ninayo hapa ofisini kwangu ya "English version"pia ninayo ya kiswahili,ninaambatanisha hapa ya kiswahili iko kwenye PDF file,kama wewe unafanyakazi,hii itakusaidia kuelewa taratibu kama umeachishwa kazi kinyume na taratibu.Lakini wengi hamkuwa na taarifa kama ipo.
 

Forum statistics

Threads 1,356,359
Members 518,895
Posts 33,131,052
Top