"Wanangu wote njooni, kaaeni chini niwaeleze, maisha ya sasa ni magumu,tofauti na ya zamaniiii!Kuna wimbo unaitwa Usia wa Baba ,umeimbwa na Seif Kisauji naomba mwenye audio yake tafadhali.
asanteni sana
Kuna wimbo unaitwa Usia wa Baba ,umeimbwa na Seif Kisauji naomba mwenye audio yake tafadhali.
asanteni sana
AaahhWatu mna makusudi 🙂 🙂
JFAaahh
Kigogo,mjumbe hana hatia