pilikapilika2013
Member
- May 19, 2023
- 23
- 52
Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
Kiutaratibu wanahesabu masaa baada ya muda wa kazi (over time).Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
Kama.mshahara wako kwa siku ni elfun20.Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
Ndivo nilivyofafanua huko juu kuhsu x1.5 jumamosi na Double pay jumapili.chukua mshahara wako ugawe kwa siku za kazi then jibu fanya mara 2.
Kwa makadirio ukiwa unalipwa laki 9 kwa mwezi hapo tuseme unalipwa sh. 30 kwa siku moja.
hivyo fanya 30×2.
kwahiyo utapaswa kulipwa sh elfu 60 kwa siku moja