Msaada wa mawazo.mwanamke wangu simuelewi kabisa

Msaada wa mawazo.mwanamke wangu simuelewi kabisa

In the end of a day, You will not get a person who is 100% perfect. If you can live with those shits, go ahead...
 
Mahaba kikohozi, mahaba si ugomvi wala kulazimishana. Binadamu wakati mwingine huwa hatuthamini sana kila kilichopo mikononi mwetu. We achana naye tatuta mwingine atakaye kuwa na sifa hapo chini.

1)Hana kisirani
2)Hana hasira
3)Anajali na kushukuru kwa kila utakachomfanyia
4Anajali na kuheshimu kwa dhati hisia zako.
5)Ukiona ameenda kinyume Ukisema Umwambie ,hatazira bali atasema darling unamaneno matamu wewe.
6)Bikra (ya kweli au ya kichina, atajua mwenyewe).
7)Anakupigia simu kila siku
8) Si mtu wa mitandaoni, yeye kusoma vitabu tu.
9)Usiku kitandani anakusumbua umgegede, mpaka siku nyingine inabidi usingizie kuwa kichwa kinauma, au upo kwenye dozi.
10) Anapenda romance kama amelogwa vile.
11)Anasema anakupependa sana, ukirudi kazini unakuta amevukiza udi nyumba nzima,
12)Ni mshauri mzuri kupindukia
13)Anajali.
 
Hana tatizo lolote usitegemee makubwa sana wewe mfuraie bila kusononeka huwa mood zao zinabadilika usimgande sana vitu vidogo vidogo unavyoweza kufanya mwenyewe jifanyie ukiona mood yake imebadilika mkaushie kuwa na interest labda movie au soka au gazeti book sio lazima kila Mara muongee she is fine brother niamini
 
Jaribu kuweka na mazuri yake. ..tuone mzani unaelemea wapi?
Miaka 3 ni mingi sana kuwa na mtu na ukajua unachokihitaji.

Kama anaumuhimu sana kwako, mapungufu yake utayafumbia macho.
May be iam too demanding
 
Zamani zilikuwa hazionekani sana sababu tulikuwa hatuishi pamoja lakini tangu tuanze kuishi about a year ndo nayaona hayo
Siwezi kukushauri humu maelezo malefu sana nitafute inbox ,nimekwelewa sana mkuu
 
Back
Top Bottom