Msaada wa mawazo: Mwanamke wangu simuelewi

Msaada wa mawazo: Mwanamke wangu simuelewi

wamwanjige

Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
37
Reaction score
33
1)ana kisirani
2)ana hasira
3)hajali chochote nitakachomfanyia
4)hajali wala kuheshimu hisia zangu
5)nikiona ameenda kinyume nikasema nimwambie ,anazira anasema nina lawama sana
6)single mother
7)simu mpaka umuanze
8)mtu wa social networks sana
9)usiku kitandani hana sitori yoyote ni kulala tena kivyake.ukisema umkumbatie anasema nambana na akilala ni fofofo
10)hapendi romance
11)anasemaga ananipenda sana
12)ni mshauri mzuri
13)hajali

Wakuu hadi kichwa kinanipasuka.mawazo ya kuweza kuishi vizuri na huyu .maana niko stressed sana.namzidi umri kama miaka 8.she is 27 mimi ni 35.lakini najiona niko down sana kwake
10)
 
Brother huyo humfikishi kunako kibo na mawenzi...but Samahani kama nitakua nimekukwaza
 
Iyo Namba sita ushasema single mother, wenzako wamemshindwa wewe utaweza au umempenda huo weupe na macho ayo...
Kula ukimbie na wewe!!!
 
Ndugu,hiyo namba sita hiyo!!!!!!!!!

Hiyo namba sitaaaaaaaaaaa

Lalalalalalaaaaaaaaa
 
Pole Sana kiongozi.
Hao watu namba sita wengi wako stressed. Huwezijua mawazo yake kwako. Labda mahusiano ya nyuma yalimuumiza zaidi.

Miaka 35 kwa 27 mbona safi tu.
Pia jitathmini nawe usije kuwa wewe ndiyo chanzo. Fanya utafiti kwa taratibu utagundua jambo tu.

Kwangu mwanamke mwenye namba 3,4,8 na 10 zinatosha kumtema kabisa.
Kama mko ndoani mvumilie labda atabadilika baadae.

Au ashanasa ujauzito!?
 
Komaa tu mkuu hana shida...hayo hayasemwi kny mwanga...kama hujamhisi kuwa na mchepuko hayo ya kununa na mengineyo ndivyo walivyo...
Ila nakushauri Fanya ibada sana pia utafute wataamu wakusaidie kuiweka nyumba yako iwe na amani.

Wanawake wengine sana mambo ya kurithi hivyo huambatana nao huko walikoolewa.
 
1)ana kisirani
2)ana hasira
3)hajali chochote nitakachomfanyia
4)hajali wala kuheshimu hisia zangu
5)nikiona ameenda kinyume nikasema nimwambie ,anazira anasema nina lawama sana
6)single mother
7)simu mpaka umuanze
8)mtu wa social networks sana
9)usiku kitandani hana sitori yoyote ni kulala tena kivyake.ukisema umkumbatie anasema nambana na akilala ni fofofo
10)hapendi romance
11)anasemaga ananipenda sana
12)ni mshauri mzuri
13)hajali

Wakuu hadi kichwa kinanipasuka.mawazo ya kuweza kuishi vizuri na huyu .maana niko stressed sana.namzidi umri kama miaka 8.she is 27 mimi ni 35.lakini najiona niko down sana kwake
10)
Hahahahaha nilishapata mwanamke wa namna hii yaani ndani ya miezi mita3 ilikuwa kama mwaka mwanamke ana kisiran sijapata kuona ..niliamua kumtimulia mbali
 
Hili ni tatizo ambalo wanawake wengi wanalo.

Inatokana na kubeba mizigo mingi moyoni. Starting a new relationship without letting go of the previous one. Hatuchukui mda wa kupumzika na kujifunza kutokana na mahusiano yaliyopita.

Sasa hapo ana maumivu ya kale mara mbili. Ya mzigo wa kuwa single Mom, na Ya watoto wake.

If you truly love her, sit her down. Tell her her problem. Find a therapist for her. She will heal.

Good Luck.
 
Umenena!!! Japo wakati mwingine inaweza Kuwa ni sababu ya kuumizwa na aliye nae ndani. Sometimes ndiyo namna ya kureact kwa ladies. Mleta Uzi, yatafakari haya
 
Back
Top Bottom