Kwa uzoefu huyo mwanamke amepoteza hisia na wewe. Umekuwa over submissive kwake hadi amekukinai. Ameku overpower na anakumanipulate anavyotaka na wewe upo comfortable tu na hio treatment. Sio tabia ya kiume hio!
Muhimu anza kuwa rigid kuanzia sasa, kuwa na msimamo juu ya tabia zake za kipumbavu za kususa susa kuwa huzitaki! Mwambie kama una mpango wa kumuoa na utamlipia mahari soon ila kwa huo upuuz wa kukoseshana raha ni wazi hutasita kumpotezea kama hatajirekebisha. Kama anadhani kukujali na kukuheshimu kama mpenzi ni ngumu basi utajipunguza abaki na maisha yake binafsi, sio shida!