Msaada wa mawazo.mwanamke wangu simuelewi kabisa

1--Since nisingle maza , kuna maumivu yako ambayo Wenda ndo yanamfanya asiwe vile utakavyo ,, Hivyo uwe unajaribu kumsifiaaa sana ,msifie sana ,mwambie ,umezaaa lkn you are still sex and hot baby ,,doooohh km vile hujazaa.
Msifie uzuriiu wake ,msifie kiuno ,msifie sura na maziwa yake. Msifie kalio ,hata km nidogo ,we msifie namna unavyoliona ,msifie uzur walips ,sura masikio ,n.k yaaan msifie naunapomlinganisha na wsnawake wenzake yeye mfanye kua at the Top !!.

2-hii naandika kwa herufi kubwa,,, "UKITAKA SINGLE MAMA AKUPE MAISHA MPAKA UJIHISI UPO MARS, MPENDE MTOTO WAKE KULIKO YEYE MWENYEWE , MPENDE SANAAAAAAAAAA MTOTO WAKE ,NAUONYESHE MATENDO KUA UNAMPENDA MTOTO "
Aiseee utamfaidi mpaka kitambi kikuote within a Month .

3--Akishakubali umfunue mapaja ,basi hakikisha UNAMTOMBA KWELI KWELI

Unajua nn, Anakupenda kweli , na anapenda kukaa naww kweli , Ila kuna kitu kinachomfanye asite kukufurahisha 100% so its up to you Man kucheza na Akili na moyo wahuyo mwanamke !!.

ASIPOBADILIKA BASI UJUE AMEJISHIKIZS TU APATE KULA,KULALA,NAKUVAA ,KWAIVO UTAAMUA VILE UNAVYOPENDA.

Mpumzishe mwenzio
 
Kwa uelewa wangu finyu hapo hakuna mapenzi ya kweli....
 
Duh! Na wewe unajiona una mpenzi pamoja na yote haya anayokufanyia!!!! PIGA CHINI!

1)ana kisirani
2)ana hasira
3)hajali chochote nitakachomfanyia
4)hajali wala kuheshimu hisia zangu
5)nikiona ameenda kinyume nikasema nimwambie ,anazira anasema nina lawama sana
6)single mother
7)simu mpaka umuanze
8)mtu wa social networks sana
9)usiku kitandani hana sitori yoyote ni kulala tena kivyake.ukisema umkumbatie anasema nambana na akilala ni fofofo
10)hapendi romance
11)anasemaga ananipenda sana
12)ni mshauri mzuri
13)hajali

Wakuu hadi kichwa kinanipasuka.mawazo ya kuweza kuishi vizuri na huyu .maana niko stressed sana.namzidi umri kama miaka 8.she is 27 mimi ni 35.lakini najiona niko down sana kwake
10)
 
1--Since nisingle maza , kuna maumivu yako ambayo Wenda ndo yanamfanya asiwe vile utakavyo ,, Hivyo uwe unajaribu kumsifiaaa sana ,msifie sana ,mwambie ,umezaaa lkn you are still sex and hot baby ,,doooohh km vile hujazaa.
Msifie uzuriiu wake ,msifie kiuno ,msifie sura na maziwa yake. Msifie kalio ,hata km nidogo ,we msifie namna unavyoliona ,msifie uzur walips ,sura masikio ,n.k yaaan msifie naunapomlinganisha na wsnawake wenzake yeye mfanye kua at the Top !!.

2-hii naandika kwa herufi kubwa,,, "UKITAKA SINGLE MAMA AKUPE MAISHA MPAKA UJIHISI UPO MARS, MPENDE MTOTO WAKE KULIKO YEYE MWENYEWE , MPENDE SANAAAAAAAAAA MTOTO WAKE ,NAUONYESHE MATENDO KUA UNAMPENDA MTOTO "
Aiseee utamfaidi mpaka kitambi kikuote within a Month .

3--Akishakubali umfunue mapaja ,basi hakikisha UNAMTOMBA KWELI KWELI

Unajua nn, Anakupenda kweli , na anapenda kukaa naww kweli , Ila kuna kitu kinachomfanye asite kukufurahisha 100% so its up to you Man kucheza na Akili na moyo wahuyo mwanamke !!.

ASIPOBADILIKA BASI UJUE AMEJISHIKIZS TU APATE KULA,KULALA,NAKUVAA ,KWAIVO UTAAMUA VILE UNAVYOPENDA.
Mkuu nilishafanya hayo yote kwa kiwango cha juu kabisa hadi najiona kama mwehu hivi
 
Mkuu pole kubwa kutoka moyoni!
ushauri wa kisayansi kidogo! Jaribu kua bize na shughuli zako! Hakikisha unamoenda mtoto wake zaidi huku kwake iwe salam tu, na ww huna stori kama unampotezea ! Yani kama huna time naye! Huku kila kitu unamtimizia! Then uone inakuaje!? Maana dawa ya moto ni Fire! Ukiweza ongezea na mchepuko unaojielewa! Sio wale pasua vichwa( hapo kweny mchepuko kua makini usije ukaongeza gunia la misumari! Ukishindwa achana na swala la mchepuko)
 
1--Since nisingle maza , kuna maumivu yako ambayo Wenda ndo yanamfanya asiwe vile utakavyo ,, Hivyo uwe unajaribu kumsifiaaa sana ,msifie sana ,mwambie ,umezaaa lkn you are still sex and hot baby ,,doooohh km vile hujazaa.
Msifie uzuriiu wake ,msifie kiuno ,msifie sura na maziwa yake. Msifie kalio ,hata km nidogo ,we msifie namna unavyoliona ,msifie uzur walips ,sura masikio ,n.k yaaan msifie naunapomlinganisha na wsnawake wenzake yeye mfanye kua at the Top !!.

2-hii naandika kwa herufi kubwa,,, "UKITAKA SINGLE MAMA AKUPE MAISHA MPAKA UJIHISI UPO MARS, MPENDE MTOTO WAKE KULIKO YEYE MWENYEWE , MPENDE SANAAAAAAAAAA MTOTO WAKE ,NAUONYESHE MATENDO KUA UNAMPENDA MTOTO "
Aiseee utamfaidi mpaka kitambi kikuote within a Month .

3--Akishakubali umfunue mapaja ,basi hakikisha UNAMTOMBA KWELI KWELI

Unajua nn, Anakupenda kweli , na anapenda kukaa naww kweli , Ila kuna kitu kinachomfanye asite kukufurahisha 100% so its up to you Man kucheza na Akili na moyo wahuyo mwanamke !!.

ASIPOBADILIKA BASI UJUE AMEJISHIKIZS TU APATE KULA,KULALA,NAKUVAA ,KWAIVO UTAAMUA VILE UNAVYOPENDA.
[emoji5]
 
Back
Top Bottom