Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,870
Khaaa. Pole. Kuna watu kazi sana kuishi nao. Ila miaka mi3 mingi sana yeye kushindwa kubadilika.Hapo ndo kwenye tatizo.ukianza kuongea naye anazira anakwambia unalalamika mno.yaani ni shida
Khaaa. Pole. Kuna watu kazi sana kuishi nao. Ila miaka mi3 mingi sana yeye kushindwa kubadilika.Hapo ndo kwenye tatizo.ukianza kuongea naye anazira anakwambia unalalamika mno.yaani ni shida
Nimkeo au unaishi naye kishikaji ??.Mkuu nilishafanya hayo yote kwa kiwango cha juu kabisa hadi najiona kama mwehu hivi
Sina MKuu.mi nikiwaga na mtu huwa siwezi kuchepuka.huwa nazama kupalilia maishaau huenda una mchepuko, sasa amestukia,, jichunguze nawe
Jaribu kuweka na mazuri yake. ..tuone mzani unaelemea wapi?Tangu mahusiano yaanze (3yrs ago).na ndo Najiaandaa kwenda kutoa mahali
Thinking about you .[emoji5]
Kabisaaa, eti mkuu anataka tumuambie Muacheeeee.Jaribu kuweka na mazuri yake. ..tuone mzani unaelemea wapi?
Miaka 3 ni mingi sana kuwa na mtu na ukajua unachokihitaji.
Kama anaumuhimu sana kwako, mapungufu yake utayafumbia macho.
Unataka kuniambia ukisha kaa na mtu Miaka 3 hakijaeleweka....hamruhusiwi kuachana?Kabisaaa, eti mkuu anataka tumuambie Muacheeeee.
Cheeeeee 3yrs na binti wawatu ,umemvuta toka 24--27 alafu umuache , unamuachia nani sasa ??? Kwauo umri ???
Mkuu don't look for excuse !!
Kaka pole. Inaonekana umevumilia mateso kwa muda mrefu. Sasa for the last time. Mchukue muende sehem tofauti.. kwenye maongez yenu mwache yeye awe anatawala, msikilize zaidi, usitoe majib ya kumlaumu.Mkuu nilishafanya hayo yote kwa kiwango cha juu kabisa hadi najiona kama mwehu hivi
Kuachana inaruhusiwa ila kwa ubinadamu nakuepuka laana zisizonamaana , huwezi kumfanyiw ivo mwanamke wawatu , maana usokute kukubal kukaa naww miaka iyo ,amerisk mambo yake kibao ,ambayo Wenda angeyafanya nje ya ndoa yako angekuw mbali...kama binti mwenyewe ndo kajiamulia sawa !! Lkn sio we mwanamme mwenye akili timamu ,nibora umuache mapema ,ili umpe muda wakujipanga.Unataka kuniambia ukisha kaa na mtu Miaka 3 hakijaeleweka....hamruhusiwi kuachana?
Ubinafsi wakati mwingine mzuri[emoji17]
Mkuu umeelewa tatizo ni nini.na kipi nilihitaji ?Kabisaaa, eti mkuu anataka tumuambie Muacheeeee.
Cheeeeee 3yrs na binti wawatu ,umemvuta toka 24--27 alafu umuache , unamuachia nani sasa ??? Kwauo umri ???
Mkuu don't look for excuse !!
Akinipa huwa silazi damu.huwa najitahd to my best level hadi yeye mwenyewe anafurahiongeza ujuzi katika kumpopoa usiku,,
mpopoe kigangstaa,,
yaaaaaniii fumua kikweli kikweli,,,
yaaaani kaka,,, yaan mcheketueeee,,,
piga ile mikao ambayo hujawai mpaa
Mkuu asante.ila hebu nifungue akili kidogo kwenye lengo lakeMkuu kuna wanawake hawatakiwi kuolewa,wanatakiwa waoe,nikushauri kitu onyesha msimamo mkali badilisha mfumo wa mapenxi ndani ya nyumba ,lengo laki nimelijua baadae itakukosti