PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,995
- 2,017
Security Code,
Mi nimecheka akipokea simu hata ya vodacom aongee taratibu
Mi nimecheka akipokea simu hata ya vodacom aongee taratibu
Sasa bro, heshimu familia yako. Mwanamke hata hujui mko wangapi (coz she is definitely hiding something), ni wa kumuonesha vitu vyako vya thamani kama familia? Yani hiyo issue ya simu ilitakiwa kuipita zamani sana ndo mfikie kutambulishana.Nimekuwa nae kwa mahusiano kwa zaidi ya mwaka mzima sasa na familia yangu yote inamjua.
Sijui nielezee vipi unielewe zaidi
Kama anaanza mambo hayo saa hizi hujamuoa,ukishamuoa itakuwaje,chukua hatua before its too late,ndoa sio kitu cha kujaribisha,wako wengi tu mbona wenye utayari kuliko kuforce kwa huyo ambaye tayari ameshaanza kukuonyesha mapema kwamba ana kiburi...Braza usije ukampiga mtu risasi za kichwa bure kwa stress,..panganika mapemaa hapo sio.
Nilikumiss jamani [emoji8][emoji8][emoji8]Braza usije ukampiga mtu risasi za kichwa bure kwa stress,..panganika mapemaa hapo sio.
Mambo ya Kupanganika.Braza usije ukampiga mtu risasi za kichwa bure kwa stress,..panganika mapemaa hapo sio.
Ukitoa huyu mtoa mada..wanaume wengi wanaopenda kuchunguza Sana wenzao nao Wana madudu Yao mengi tu ila kumbe wao huwa wanaumia kuchitiwa.Mimi nilikuwa na mwanamke alikuwa ananinyima kushika simu yake, ila kwa sababu na mimi nilikuwa nakula ujana nikaona poa tu. Sema nilikuwa namfahamu vizuri sana, labda kuflirt lakini kunitomb.ea hapana.
Sometimes tunataka kuwachunguza hawa viumbe ila wao wakituchunguza wakayaelewa hata 5% ya tunayoyafanya watakimbia mbaya.
Kaa naye chini uongee naye, mwambie hamna cha kufichana, mwambie vilevile stage mliyofikia hamuhitaji usiri tena.
Ukiona haeleweki, amsha popo.
Kwa kila kazo"Mambo ya Kupanganika.
Aww🤭darlin' me moooore😘😘Nilikumiss jamani [emoji8][emoji8][emoji8]
Nani alikuficha?Aww[emoji2960]darlin' me moooore[emoji8][emoji8]
Hata me nashangaa hivyoKwann na ww ushike simu yake kama haujawahi muhisi anamakoloni ya kando?!
Unawaza vibayaNaona unasubiri mpaka umkute anadinywa? [emoji50]