Aiba
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 2,049
- 3,933
Broo uyo si mke Bali ni sumu endelea naye utakuja kuandika tena apaNakubali na wazo lako mkuu lakini huoni kama kuna hatari pia ikiwa anajua kabisa mipango yetu ni ndoa. Ndugu zangu karibia wote wanamfahamu. Hivi kweli bado ajanielewa tu