Msaada wa mawazo kwenye haya mahusiano yangu

Msaada wa mawazo kwenye haya mahusiano yangu

Dah....imeandikwa...
Mwanamke anayeificha simu yake anaharibu ndoa yake kwa mikono yake lakini mwanaume anayefiicha simu yake anailinda ndoa. Wachaga 2:4 [emoji2960]
 
Huwez kula peke yako kitu nzuri,ila usiogope weka ndani,wanawake wako hv,ukiacha kumfatilia na wew ukaacha kucheat huwa wanatulia wenyew hii Mimi nmeshai-apply kwa wanawake wengi mpaka wauza bar huwa wanatulia,OA TU USIOGOPE
 
Inafika wakati unahisi uezi kumove on ukimuacha..ninaona kama unampenda sana na unajali na unaumizwa sana na vitu kama hivyo nakuelewa sana.NI KWA SABABU UNAMPENDA.
Ila nikwambie tu ana wanaume huyo na ana masiri makubwa sana kama kwenda kwa waganga na zaidi ya hapo aisee.au meseji za ujinga kuliko uzaniavyo.
Mtu ambae hataki kukuonesha sim yake labda kama umemuoa ndo uvumilie ila "MCHUMBA AVUMILIWI" anavumiliwa mke au mume.
Sasa imagne ukiingia kwenye ndoa eeeeh si atakua hata anarid usiku
Asante sana dada
 
Nimekuwa nae kwa mahusiano kwa zaidi ya mwaka mzima sasa na familia yangu yote inamjua.
Sijui nielezee vipi unielewe zaidi
Familia kumjua/kukujua wewe sio kupandishana vyeo bana bila process kufuata ufikie uchumba!
 
Familia kumjua/kukujua wewe sio kupandishana vyeo bana bila process kufuata ufikie uchumba!
Tulishakubaliana tayari na anajua ni kitu gani kinakwamisha mimi kwenda kumtolea mahari
 
Wanaume dhaifu ni sawa na Wavulana tu.


Mwaka mzima unashika simu ya demu wako mara 2 tu!?
Na kila ulipofanikiwa unakuta utata, na bado umeyakumbatia hayo mahusiano tu!

Heri uoe baada ya miaka 40 kuliko kukosea, baadae visu na gunia za mkaa ndiyo zikupeleke jera!
 
Mpaka hapa ulipo umeshachemsha mkubwa, kama uwezo wako wa kummiliki mwanamke ni huu basi wewe ndio bado hujawa tayari kuwa na familia unayoiwaza.
Mchumba tu anakupeleka hivi hujafunga ndoa ukifunga je!? Tena mchumba wa mahusiano ya mwaka mmoja!
Eti yupo free kushika simu yako lakini yake hushiki! maajabu matupu haya. Huyu kashakuona wewe ndezi wake na hukurupuki maana anakumiliki vizuri.
Ushauri.
Kabla ya kuachananae lazima umkere. Tia password ya maana ktk simu yako na asiijue, akitaka kuishika/kuijua kuwa mkali na mwambie kila mtu amiliki simu yake na msifuatane. Hakikisha huonyeshi kuitamani simu yake kabisa hata ajifanye kuisahau karibu yako.
Ukipokea simu yoyote hata inayotoka vodacom kama yupo jirani inuka kapokelee mbali na uongee kwa sauti asiyoisikia ila kwa bashasha kubwa kama atakuwa anakuangalia na kwa kipindi kirefu na usionyeshe kumjali hata ukirejea alipo.
Usimtafute kabisa na akikutafuta mjibu upo bize kwa sms, akikwambia anakuja home mwambie unatoka au umechoka na unataka kupumzika so unahitaji muda wa kutosha.
Akitaka kukutanisha na huyo dada mpatanishi mwambi/waambie huna muda mchafu wa kutwanga maji kinuni wakati hayatwangiki.
Akikwambia mbona umebadilika sana, mpatie majibu machafu, nimebadilika natembea uchi? Akiuliza ndoa ipo, mwambie hujaona mke sana unakutana na vicheche tu.
Ukiweza kufanya haya akili itamrejea na ujivuni utampungua sana na itakusaidia kurudisha heshima yako kama awali.
Kumbuka utakuwa unafanya haya kumvuruga kulipa kisasi kwa alivyokuvuruga na wewe.
Yote kwa yote huyu sio mke.
 
Anachat na ex wake kitu gani?!
Mfano Mimi naweza kuchat na ex na baby yuko hapo Ila ni necessary Tena labda iwe Mambo ya carriers na professionals au Kuna Cha muhimu Sana.
Unless otherwise I don't emphasize chatting na ex

Kuhusu kushika simu
Unajua Kama simu ni privacy ya mtu?! Kama mko kwenye mahusiano yaliyoshibana sidhani Kama simu ni swala la kutokupeana ingawa Mimi sipendelei shika simu ya my man simply because naweza kutana na Yale ambayo moyo wangu mdogo hauvumilii ko simu yake ni yake but when its necessary nashika na ananiruhusu
Na yangu anashika at any time t Ila hapendelei kwasabababu ananipa Uhuru na imenifanya nisiwe na any chats za kumkera na kujua passwords ni kwa ajili ya usalama wetu ikitokea Jambo lolote na sio kuviziana

Kwa ushauri wangu:
Achana na simu yake concentrate na Mambo yako fanya Kama zoezi uone her reactions Kama hashtuki just fika Kuna mtu zaidi yako kaka mi nakwambia Kama dada yako. Kwanza anayekupenda hata mkiwa wote simu anaiona nzito kushika na anafanya necessary stuffs huku unaona.
 
Anachat na ex wake kitu gani?!
Mfano Mimi naweza kuchat na ex na baby yuko hapo Ila ni necessary Tena labda iwe Mambo ya carriers na professionals au Kuna Cha muhimu Sana.
Unless otherwise I don't emphasize chatting na ex

Kuhusu kushika simu
Unajua Kama simu ni privacy ya mtu?! Kama mko kwenye mahusiano yaliyoshibana sidhani Kama simu ni swala la kutokupeana ingawa Mimi sipendelei shika simu ya my man simply because naweza kutana na Yale ambayo moyo wangu mdogo hauvumilii ko simu yake ni yake but when its necessary nashika na ananiruhusu
Na yangu anashika at any time t Ila hapendelei kwasabababu ananipa Uhuru na imenifanya nisiwe na any chats za kumkera na kujua passwords ni kwa ajili ya usalama wetu ikitokea Jambo lolote na sio kuviziana

Kwa ushauri wangu:
Achana na simu yake concentrate na Mambo yako fanya Kama zoezi uone her reactions Kama hashtuki just fika Kuna mtu zaidi yako kaka mi nakwambia Kama dada yako. Kwanza anayekupenda hata mkiwa wote simu anaiona nzito kushika na anafanya necessary stuffs huku unaona.

Ushauri wa dada, usipo upokea huu ndio basi tena
 
Brooo ata kama anatoa ushauri mzuri kumbuka utamu wa ndoa si kuwa na mtu anayetoa ushauri mzuri Bali unayemuamini, kumpenda na anayefaa kuwa faraja kwako kipindi cha shida sasa wewe jichanganye mwakani uowe uje kusema kuwa najuta kuingia kwenye ndoa broo ndoa kwa mwanaume haina haraka olea nyege ulie na kusga meno
 
Nawe acha kiranga, simu yako unayo ya mwenzio waitakiani?
 
Ujinga wa kiwango cha lami wewe endelea kutoishika siku unaletewa magonjwa au kukuta analiwa ndani ndyo utajua bora uone mapema wanawake siku zote kama una mazoea ya kushika simu yake kidogo atakuwa na heshima ata akitongozwa ni rahisi kukutaa kama simu huishiki akitongozwa unaisi atachomoa ngoja maumivu yanakuja wala usiwe na hofu
Samahani kwa kuusoma mstari mmoja wa juu kisha nikaanza kuandika hili....

Natanguliza pole sana kwako....

Naomba niseme hivi kuliko kupoteza muda wako kuanza kufikiria,kutaka au kufukunyua simu ya mwenzako wa karibu hasa msichana au mwanamke huko ni kuitesha akili yako.....

ACHA ACHA ACHA

tena acha kabisa, mwanamke au msichana ni mtu asiyetabirika ndio maana hakuna mwanadamu anayejua nyoka na wao walizingumza na walikubaliana nini pale bustanini zaidi ya sisi vidume kupokea tunda na kula

Niliwahi kufanya unachokifanya lakini niliwahi kuambiwa nimuache awe huru, hilo neno nilikuja kulielewa baada ya miezi 4 kupita, kaka fanya kazi,tafuta hela achana na biashara kichaa hiyo ya kufukunyua simu utakachokikuta kitakuumiza ni bora kikuumize wakati hujakiona kuliko utakapo kiona

Ni ushauri tu
 
Habari wakuu.

Nimekuwa kwenye mahusiano na huyu binti kwa zaidi ya mwaka mmoja na malengo yetu ni kufunga ndoa halali ya kanisani next year.

Changamoto kubwa niliyonayo ni usiri wa huyu binti kwenye simu yake. Kwa mwaka mzima nimefanikiwa kushika simu yake mara moja na nilikuta sms ya mapenzi ila akasema ni X wake anajaribu kuomba warudiane.

Of course tuliongea na tukayamaliza. Baada ya hapo sikushika tena simu yake kwa zaidi ya miezi sita. Kuna siku nilijaribu tena kuishika lakini ilikataa katakata na tuligombana na kukata mawasiliano mpaka dada akaja akatupatanisha na huyu binti akasave password yake kwenye simu yangu.

Imepita kama miezi mitatu sikuangaika na simu yake. Jana nilijaribu kuichukua na kuifungua lakini nikakuta kabadilisha password. Nilimuomba anifungulie akagoma tena.

Nilimuacha kwa muda nikijua kuwa kama kuna mambo yake atayafuta lakini baada ya masaa kama mawili nikamuomba tena anifungulie akakubali kwa masharti nimwambie nachotaka kukiona anionyeshe nikamwambia hapana. Nahitaji kuangalia mwenyewe akanijibu straight kuwa hataki.

Kumbuka kabla ya kumuomba simu niliongea nae sana na nikamjulisha juu ya lengo letu so kama anahisi muda wake wa kuingia kwenye ndoa haujafika anijuze tu ili asinipotezee muda maana mimi lengo langu ni kuwa na familia.

Wakuu nishaurini. Huyu binti niko nae safari moja au napoteza tu muda wangu? Kumbuka kuwa yeye yupo free sana na simu yangu na wala haina password.

Niseme tu ukweli kuwa sijawahi kumuhisi kuwa na mahusiano mengine na upande wa maisha ni mtu ambae anajielewa na alinishauri viti vingi sana wakati nafanya ujenzi.

Nashindwa tu kuelewa kwenye simu yake ni kitu gani hicho muhimu kwake ambacho hataki mimi nikijue na yupo radhi nimuache lakini sio kuniruhusu nishike simu yake.

Hapa nilipo bado nina ugomvi nae tangu jana na nawaza nifanye maamuzi gani.

Asanteni kwa ushauri wenu
Matendo huelezea kila lililojificha!
 
Back
Top Bottom