Msaada wa mawazo kwenye haya mahusiano yangu

Kuna jambo LA kutafakari mume mtarajiwa kunyimwa simu hainiingiii akilini
Mume mtarajiwa ni yule ambaye ashatoa mahari inasubiriwa ndoa tu, lakini km ni ahadi za mdomoni ye akae foleni km madanga wenzie tu
 
Sina kawaida kabisa ya kuishika na kwa zaidi ya mwaka mmoja nimeishika mara moja na pia kuomba kuishika mara mbili na wakati wote huo nakuwa tu nimejisikia kumjaribu tu nione kama atanipa.
Note that huyu ni mtu ambae naenda kuingia nae mkataba wa maisha so mara moja moja kutaka kujua vitu vyake ni muhimu kidogo
Mpe mimba tu
 
Inaweza ikawa kuna MTU huko anampenda sana na anachat nae hataki we ujue so ww kama mume mtarajiwa tena mwakani
Je unajulikana kwao na familia yake na ndugu wanatambua mahusiano yenu

Je mna muda gani kwenye mahusino
Mliwai kufanya mapenzi ?
Ana miaka mingapi huyo binti
Zen hapo hakuna ndoa kama ni rahisi kukuacha kuliko kushika cmu yake
Nikikusaidia kujibu swali moja hapo kwenye miaka ya huyo binti ni kuwa mabinti miaka 18-25 huwa na changamoto nyngi nmo pia wengi hawajajua dunia inaelekea wapi
Ushauri wangu fanya kile moyo wako. Unapenda
 
Mkuu dalili ya mvua ni mawingu!, na ukibahatika kuuona mwanga wa radi ujue imekukosa hiyo, sasa we endelea kukaa chini ya mkaratusi huo.
 
Mkuu Je
1. anakupa menyu?? Kila ukitaka?
2. anakubali kika style unayotaka wewe saa za kumla bata?
3. Anaheshima na tabia nzuri?
4. Anahela?
5. Ana nini ambacho ukiachana naye utajutia??

Amua moja
 
Kiongozi nakushauri tulia kwamba msome huyo mdada.

Ukiingia ndoani kichwa kichwa atakuuzia mimba ya miezi 40 na atasema ina mwezi mmoja hafu ni yako.Tulia tulia omba Mungu atakuonyesha mke wa kweli.
 
Wengine tuliachiwa tushike simu zao na bado tukapigiwa... Kama yupo tayar kuachana na ww kisa simu, achana nae... Huyo ana mtu anamenda zaid yako na hayupo tyr kumpoteza
 
Kwann na ww ushike simu yake kama haujawahi muhisi anamakoloni ya kando?!
Kukuta sms za x wake ni dalili tosha ya hayo makoloni ya kando

Huwa dada Bado hajapevuka kwenye mahusiano au Hana akili sawa sawa.....

Achana nae
 
Mume mtarajiwa ni yule ambaye ashatoa mahari inasubiriwa ndoa tu, lakini km ni ahadi za mdomoni ye akae foleni km madanga wenzie tu
.tatzo vijana tusome alama za nyakati kabla ya tukio uwe tayari kisaikologia kua mume au mke mtarajiwa lazm pawe na misingi yenye nguvu za chuma na sio kirahisi
 
Inafika wakati unahisi uezi kumove on ukimuacha..ninaona kama unampenda sana na unajali na unaumizwa sana na vitu kama hivyo nakuelewa sana.NI KWA SABABU UNAMPENDA.
Ila nikwambie tu ana wanaume huyo na ana masiri makubwa sana kama kwenda kwa waganga na zaidi ya hapo aisee.au meseji za ujinga kuliko uzaniavyo.
Mtu ambae hataki kukuonesha sim yake labda kama umemuoa ndo uvumilie ila "MCHUMBA AVUMILIWI" anavumiliwa mke au mume.
Sasa imagne ukiingia kwenye ndoa eeeeh si atakua hata anarid usiku
 
Nimekuwa nae kwa mahusiano kwa zaidi ya mwaka mzima sasa na familia yangu yote inamjua.
Sijui nielezee vipi unielewe zaidi
Ebu kwanza tulia....ni mchumba au ni wapenzi kama alivyo na wapenzi wengine wasojulikana? Maana mnapendaga kupandisha vyeo mahusiano kabla ya kufuata taratibu
 
Mume mtarajiwa ni yule ambaye ashatoa mahari inasubiriwa ndoa tu, lakini km ni ahadi za mdomoni ye akae foleni km madanga wenzie tu
Sasa Madam. Unatoaje mahari kwa mtu kama huyu.
Nimeshare nae vitu vingi sana katika maisha aisee
 
Ongea naye, usitishe mahusiano maana inaonekana hamtowezana humo ndoani. Kasoro unayoiona kabla ya ndoa mara nyingi huwa ni maradufu ya uhalisia wa ndani ya ndoa.
 
Inaweza ikawa kuna MTU huko anampenda sana na anachat nae hataki we ujue so ww kama mume mtarajiwa tena mwakani
Je unajulikana kwao na familia yake na ndugu wanatambua mahusiano yenu

Je mna muda gani kwenye mahusino
Mliwai kufanya mapenzi ?
Ana miaka mingapi huyo binti
Zen hapo hakuna ndoa kama ni rahisi kukuacha kuliko kushika cmu yake
Nikikusaidia kujibu swali moja hapo kwenye miaka ya huyo binti ni kuwa mabinti miaka 18-25 huwa na changamoto nyngi nmo pia wengi hawajajua dunia inaelekea wapi
Ushauri wangu fanya kile moyo wako. Unapenda
Tuna zaidi ya mwaka mmoja na tulishafanya mapenzi tayari. Umri ni between 23-25.
 
Back
Top Bottom