Na nyie muwe wapole msing'ang'anie simu zetu.haya bwana ila wanaume wajanja sana aisee
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimeamua kuachana nae mkuu. Maana nilimpa hadi nafasi aweze kufuta kama kuna kitu kibaya lakini bado hakufanya hivyo ikimaanisha anavyonificha vina umuhimu sana kushinda mimiNimesoma huu uzi nmesikitika sna, mkuu uyo ni unga wa ngano yani mambo mengi. Navyojua mm mapnz yakiwa mabichi ndo ivo vimichezo vya simu vinakuwepogo ila mmekuwa pamoja for long time tn mnamalengo mpaka kuoana even tho mtu km anamambo yake kweli km anakuheshimu na hataki kukupoteza ata block hao watu ata akiwa na ww akuridhishe. Apo hamna kitu. Mm kweli ninakatabia ka umaraya ili ikifika kwa mke wng mtarajiwa for the respect of her nitafanya chochote simu yng isimkere. Kiufupi hakuna #heshima #malengo #upendo #matumaini. Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli?Asanteni wakuu. Maoni ya wengi huku yameonyesha huyu mwanamke hayupo safari moja na mimi.
Kwa kuwa lengo langu ni kutafuta mke na sitaki kupotezewa muda nimeamua kuachana nae rasmi jana.
She cried a lot lakini bado akashindwa kuniambia ni kitu gani alikuwa ananificha.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi kule kwa mwanzo nduguNimeamua kuachana nae mkuu. Maana nilimpa hadi nafasi aweze kufuta kama kuna kitu kibaya lakini bado hakufanya hivyo ikimaanisha anavyonificha vina umuhimu sana kushinda mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteni wakuu. Maoni ya wengi huku yameonyesha huyu mwanamke hayupo safari moja na mimi.
Kwa kuwa lengo langu ni kutafuta mke na sitaki kupotezewa muda nimeamua kuachana nae rasmi jana.
She cried a lot lakini bado akashindwa kuniambia ni kitu gani alikuwa ananificha.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
We ni shahidi mzuri kwenye hili jamboKweli?
Siku nikikuona naye
Aiseeh namuonyesha hii sms
Sasa urudi kule ndugu!