Msaada wa mawazo kwenye haya mahusiano yangu

Sasa wewe shids yako ni nini?! Kwani haupigi upumbu.....?!

Na kama unapiga upumbu unasubiri nini sasa kuoa huyo manzi na kumuweka ndani kisha utandike mimba mfululizo hadi watoto wafike saba then utanambia kama utakuwa na haja na password ya simu yake tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama mmeshaekewana kua mtaoanatena ndoa ya kanisani halafu bado anakua na usiri hivyo hataki ushike simu yake, achana nae

Tena achana nae mapema kabla hujajuta baadae

Utalea watoto wasio wako mkuu
Yaah. Nimefanya hivyo mkuu.
Niliona napoteza muda wangu bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom