Kumbe ndio inavokuwaKama yu radhi kuachwa kuliko ushike simu yake bro achana naye kabla hujagundua mabaya mkiwa ndani ya ndoa kwan utaumia mara mia ya sasa
Halafu unaweza ukanipekua ukanikuta sina makando kando ukajua nakupenda peke yako kumbe nina kitochi changu cha mambo yangu mwenyewe we hujui haya mambo hayahitaji papara
Na sio kila wakati tunapoomba simu tunataka kuchunguza kitu. Wakati mwingine tunawapima imani tu.Yaani kila mtu abaki na simu yake... kujitafutia matatizo tu, presha na hat attaki...
Simu ni Private...
Yaani mtu simu unachati na mashosti ujinga ujinga wenu...
Unachati na familia yako ishu za kifamilia..
Unachati na watu wa ofisini ishu za ofisi...
Mnachati kwenye magroup ya shule, chuo nk..
Halafu mtu anataka asome ishu zako...
Siku ya kwanza nimeombwa simu nilibaki nimetoa mimacho tu ... Heh niliona maajabu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umetisha mama[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] yaani we kijana umenichekesha ivi kweli yupo ally, Moses, Jackson, na baba nanii yule mke wake ni mwalimu msg zinaingia muda wooote akupe simu ili?? Ushauri wa ujenzi si alikuwa anatoa kwa mpenz wake yule aloanza kujenga kabla yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kijana amenichosha bana sjui hajaelewa nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umetisha mama
Baba pastor🙈🙈Nani alikuficha?
Hatuonani[emoji7]
Si umueleweshe sasa mamaKijana amenichosha bana sjui hajaelewa nini
Baba pastor[emoji85][emoji85]
Simu yake wee waitakia nini, matatizo mengine ni kujitafutia tu,Nyie jamaa yan unataka mpaka aje kupigwa kipara home kwako ndio uamini, dunia ina maajabu hii, yan mwanamke akigoma nisishike simu yake nampiga chini straight away, bora nionekane jangili kuliko kuonekana boya hasa kwene mapenz, mtu unaenda kumuoa hatak uone simu yake? kweli ??
Ndio wengi wanataka hayo, afu mwishowe kujipa stress na pressure bure tu[emoji3]Mwana kulitafuta.. mwana kulipata
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti niniBora kushikana mat*ko ila sio kushikiana simu?
Nimecheka kilofa Sana, eti nini madameWanaume wengine mkoje? Huo ushahidi wa wazi kabisa ana mtu anamdinya,tena anampenda kuzidi wewe,ndio maana yuko radhi umuache yeye lakini si kumgundua anaemdinya
Ndo nshamuelewesha apo juuSi umueleweshe sasa mama