Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 11,362
- 34,113
Biashara ya nini?Kasema kwa ajili ya biashara
Biashara ya nini?Kasema kwa ajili ya biashara
Msimu wa siku kuu huu watoto watakula sana 😂 😂 😂Biashara ya nini?
Kumbee! Huku kwetu watu watakuwa serious sana sijawahi ona mtu mzima kabinunua hivi vinamba😕Hata watu wazima, pipi ni kama za watoto ila hata watu wazima tunazila
ndio, ule muda kabla ya adhana ya magharib hzo ndo biashara msikitiniBiashara ya watoto itakua
Si ndio nasema vya watoto hivi😅Msimu wa siku kuu huu watoto watakula sana 😂 😂 😂
Kumbe ni mtoto😂😂😂😀 😀 😀 hasa we Poor Brain unamuona mtu mzima?
Yeye mwenyewe mtoto huyo 😀 😀 😀Si ndio nasema vya watoto hivi😅
Hebu muache kijana swaum isije kukuishia wewe😂Yeye mwenyewe mtoto huyo 😀 😀 😀
Basi nilidhani anatengeneza kwa ajili ya Eid,ndio, ule muda kabla ya adhana ya magharib hzo ndo biashara msikitini
Nipo hapa mguu mmoja ndani mwingine nje kwa wivu mkubwa🤗Basi nilidhani anatengeneza kwa ajili ya Eid,
Khe nimekumbuka sijapika ftari, jaman kwaherini Seran umbea wote niukute pm baadae nitarudi 😃
Ukifanikiwe, uniletee mama yako vya kuonja, sijawahi kuvila.Habari Wamama naomba mnielekeze jinsi ya kupika Vinamba please 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
View attachment 3551803
Monetary doctor
Sijui namna ya kuvipika, aende youtube
Kwa hiyo Seran wewe bado ni kabinti kabichi eti🤔Wamama sio? Mi ni binti🤗
Hivyo hata mie niliye 0 kwenye upishi najua vinavyopikwa ni unavichemsha kwenye moto mkali
Sio mafuta tena😳Hivyo hata mie niliye 0 kwenye upishi najua vinavyopikwa ni unavichemsha kwenye moto mkali
Bro Evelyn Salt
Sis Carleen
Sio aina ya pasta hizo?macaroni?Mmoja kati yetu hajui kupika😬
Business mkuuMwanaume unapika ili uvumbue nini?