Msaada wa haraka jinsi ya kupika Vinamba

Kwani mishangazi yako yooote kwenye hili wamekutenga , hawataki upate noleji πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mwezi mwema huu nakiaje na mishangazi et...

Daaah aiseee
 
We jamaa wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamaa alizingua sana juzi kanipa kazi nikamfanyia hata hela sikumdai Jana kanipa kazi sikuifanya nikamwambia siwezi kuacha kazi zangu za msingi nikufanyie wewe kazi zako zinazo kupa hela nyingi.

Jifunze na elewa ujuzi wa mtu unalipiwa pia
 
Mkuu kwanza upo hapa mjini sio...
Na vipi.ile project yako ambayo niliikimbia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sikilizia milio kwenye spika Kijana kuna balaa litatokea hapa watu watatemeka, mikakati inaendelea πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Back
Top Bottom