Msaada wa haraka jinsi ya kupika Vinamba

Sawa, ila maisha yanatufanya kufanya vitu ambavyo si vya msingi. Mi niko zangu hapa Iran nimevaa gwanda.
EEA63CE3-03D4-4431-892C-4B64B94FBE58.jpeg
 
Convo ya Seran na Joanah imenichekesha sana,
Nadhani mpishi awe makini hivyo vinamba avigawe nusu, nusu achemshe kwenye maji ya moto mkali, nusu achemshe kwenye mafuta ya moto mkali, matokeo atayapata mwenyewe.šŸ˜†šŸ˜†
 
Hmm kumbe wote hatuyawezi😧 hakuna mke hapa🤭

Bora umekuja umesawazisha mkuušŸ˜‚
 
Daaaah aiseee.humu ndani naona kabisa....
Au basi ngoja kwanza nijiandae kufuturu
 
Back
Top Bottom