Msaada wa Haraka: Fast Jet Yataka Kurudisha Nauli Mwanza

Msaada wa Haraka: Fast Jet Yataka Kurudisha Nauli Mwanza

Sahau kuhusu kurudishiwa nauli, hiyo ndege nimeshasafiri nayo hata sikumbuki ni mara ngapi.

Mtanzania anayetaka haki kwenye nchi hii tuikatae ccm kwa nguvu zote.

Mtu mjinga hawezi kunielewa.
Halafu ww mtoto punguza uongo,inakusaidia nini?tunaokujua tunacheka sana.
 
Sahau kuhusu kurudishiwa nauli, hiyo ndege nimeshasafiri nayo hata sikumbuki ni mara ngapi.

Mtanzania anayetaka haki kwenye nchi hii tuikatae ccm kwa nguvu zote.

Mtu mjinga hawezi kunielewa.
ccm inahusika vip na uzembe a fast jet?kwani hizo ndege ni za ccm?
 
huwa tunawaambia tumieni bombadia mnasikiliza majungu ya wenye wivu hasi na ndege zetu.
Hivyo vipanga boi kimoja si kimebuma majuzi....
Havina jipya zaidi ya kutoa makelele kama mashine ya kusaga mahindi ile inayotumia diesel...
 
bado ufumbuzi jameni nimeona masikitiko na madongo tu
 
solution jameni
Kwa vigezo vya fastjet aidha wakubadilishie siku ya safari ndani ya siku 14 au wakurejeshee nauli yako. Hakuna kingine na hayo masharti uliyakubali wakati unalipia tiketi yako
 
Kwa vigezo vya fastjet aidha wakubadilishie siku ya safari ndani ya siku 14 au wakurejeshee nauli yako. Hakuna kingine na hayo masharti uliyakubali wakati unalipia tiketi yako
hata mimi nimeona hapo lkn zipo regulations za kitaifa na kimataifa ...........imekula kwao kwa hiyo
 
pole hata uandishi ulikua wa haraka, ni hivi kuna ndugu zetu walifika uwanjani leo wakiwa na tiketi zao na kuambiwa ndege haipo na muamana ni KURUDISHIWA NAULI ZAO

kama una uzoefu ama weledi uwasaidie mana wapo stranded
Kaka hilo niswala lakawaida katika usafiri wa ndege ata British air linatokea ila lakufanya nimawili:
kuhairisha safari ili upewe tarahe nyingine.
au tafuta toketi nyingine undoke pesa itarejeshwa lakini sio leo after 24hrs.
 
Hizo terms and condition ni uongo mtupu. Kuna siku wametuweka Mwanza airport kuanzia saa nane mpaka saa tatu usiku na hakukuwa na notification yoyote. Tulivyoingia ndani watu wote wamenuna na hakuna aliyenunua hata chai kule ndani. FastJet wanazingua.
 
pole hata uandishi ulikua wa haraka, ni hivi kuna ndugu zetu walifika uwanjani leo wakiwa na tiketi zao na kuambiwa ndege haipo na muamana ni KURUDISHIWA NAULI ZAO

kama una uzoefu ama weledi uwasaidie mana wapo stranded
Kama bado wana haraka bado wanaweza kuchukua hiyo refund wakakate PW au TC kama hawana hiyo nauli ya ndege wakalale Nyegezi tayari ya kukata viuno kwenye KISBO siku 2 (mwz-Moro);then (Moro-Dar)
 
Hizo terms and condition ni uongo mtupu. Kuna siku wametuweka Mwanza airport kuanzia saa nane mpaka saa tatu usiku na hakukuwa na notification yoyote. Tulivyoingia ndani watu wote wamenuna na hakuna aliyenunua hata chai kule ndani. FastJet wanazingua.
Tatizo watanzania wanafanania (maiti) haki yako kwa nn usiidai?walifanyaga delay hapo JNIA kwenda KiA kama masaa 6 aisee niliwajazia umati kudai hiyo 5 USD voucher *****. Niliwaka utadhan nadai milioni
 
ungekuwa ndo bomberdia zetu imezingua hvyo nadhani hadi canada taarifa zingefika
 
Duh huduma za kitanzania pasua kichwa.
Yani hapo hawajali kwamba wameingiza watu hasara unakuta kuna mtu labda alikuwa na biashara ya muhimu leo leo dar, au mwingine anawahi ndege anasafiri kuelekea nje.
Inabdi siku moja watu wadaiwe fidia mahakamani ya mamilioni labda ndipo wataelewa somo
wanafanya hivyo wakijua watanzania ni majuha! Ulaya huwezi kufanya hivyo. Nakumbuka Kenya Airways walizidisha abiria tukiwa Younde. Walitupa hotel 5 star, na dola 400 kama kutupoza kesho yake wakatusafirisha. Hawa hawajapata kibano cha sheria.
 
Duh huduma za kitanzania pasua kichwa.
Yani hapo hawajali kwamba wameingiza watu hasara unakuta kuna mtu labda alikuwa na biashara ya muhimu leo leo dar, au mwingine anawahi ndege anasafiri kuelekea nje.
Inabdi siku moja watu wadaiwe fidia mahakamani ya mamilioni labda ndipo wataelewa somo
Sasa si ndo maana wametoa option ya kurudishis hia watu nauli zao ili watafute alternative way..je wangesema na nauli hawarudishi ingekuwaje.. Si ungeshawatukana hapa .. Jiongezeee wacha visingizio
 
Back
Top Bottom