Si maneno yangu. Ni maneno ya mwasisi wa Taifa la Kenya, Mhashamu Baba Jomo Kenyatta kwa Mchonga.Mkuu, unafanana na maiti? Rest in Peace kiongozi.
Labda kama upo Ulaya ya Kilosa, nimetembea nchi 10 za ulaya hakuna upumbavu huu.Sasa CCM inahusika vipi kwenye cancellation ya ndege? Njoo huku Ulaya utakutana na cancellation za ndege kibao watu huwa tunakaa airport hata siku mbili. Issue ni kujua cancellation inahusiana na nini?? Matatizo ya ndege au ni hali ya hewa au hawana ndege imeharibika? Kwa wasafiri wa ndege wa mara kwa mara haya mambo wanayajua sana ila wanaosafiri mara moja kwa mwaka wanaweza kushangaa sana na kuanza kulaumu utawala which is not true!