Msaada wa Haraka: Fast Jet Yataka Kurudisha Nauli Mwanza

Msaada wa Haraka: Fast Jet Yataka Kurudisha Nauli Mwanza

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Mwenye msaada wa haraka wa nini wafanye ndugu zetu waliokua wasafiri na Fast Jet asubuhi ya leo Kuja/Kurudi Dar toka Mwanza na wamefika Airport wanaambiwa ndege haipo bila kutoa sababu.........



WENYE Ndege wanawaambia kwamba ufumbuzi ni kuwarudishia nauli zao

Wamekwenda Civil Aviation Authority wanaambiwa warudi HUKO HUKO Fast Jet na Mkuu wao HAPATIKANI kwa simu

Yasemekana miongoni mwa abiria ni watalii 19 waliokua waunganishe kwenda zanzibar kwa utalii kisha kurudi kwao

Updates

  1. Abiria waliolipa cash wmerudishiwa fedha zao
  2. Abiria waliolipia online wameambiwa wasubiri ndani ya masaa 24 watarudishiwa fedha zao
  3. ABIRIA waliolipa online wamelazimika kurudi kwenye maeneo yao (nyumbani hotelini nk) wakisubiri hatma yao

Updates

1. Baadhi ya abiria walioamiwa wasubiri ndani ya masaa 24 wameambiwa na wakala wa miamala (tigo pesa) kwamba ni masaaa 48 na SIO 24

Updates

BAADHI YA ABIRIA WALIOKWAMBA WAMEAMBIWA KWAMBA HUENDA WAKAUNGANISHWA KWENYE BOMBADIER YA SAA TANO USIKU WA LEO NA WAMERUDI HOTELINI WAKISIKILIZIA





%20fastjet_mbeya_%20%2815%29.JPG
 
Mwenye msaada wa haraka wa nini wafanye ndugu zetu waliokua wasafiri na Fast Jet asubuhi ya leo Kuja/Kurudi Dar na wamefika Airport wanaambiwa ndege haipo

WARUDISHIWE NAULI'

Wamekwenda Civil Aviation Authority wanaambiwa warudi Fast Jet na Mkuu we HAPATIKANI
Duh huduma za kitanzania pasua kichwa.
Yani hapo hawajali kwamba wameingiza watu hasara unakuta kuna mtu labda alikuwa na biashara ya muhimu leo leo dar, au mwingine anawahi ndege anasafiri kuelekea nje.
Inabdi siku moja watu wadaiwe fidia mahakamani ya mamilioni labda ndipo wataelewa somo
 
Duh huduma za kitanzania pasua kichwa.
Yani hapo hawajali kwamba wameingiza watu hasara unakuta kuna mtu labda alikuwa na biashara ya muhimu leo leo dar, au mwingine anawahi ndege anasafiri kuelekea nje.
Inabdi siku moja watu wadaiwe fidia mahakamani ya mamilioni labda ndipo wataelewa somo

nasoma terms and conditions zero haha
  • In the event of a cancellation or delay fastjet will inform passengers via SMS, phone call or by email. Passengers are responsible for providing correct contact details at the time of booking.
  • In the event of a DELAY of MORE THAN 1 HOUR AND LESS THAN 5 HOURS passengers are entitled to a free date change (same route) within -/+ 14 days of the initial departure date.
  • In the event of a DELAY of MORE THAN 5 HOURS or CANCELLATION passengers are entitled to a free date change (same route) within -/+ 14 days of the initial departure date OR a refund of the ticket.
  • In the event of a delay of more than 3 HOURS passengers will be offered a $5 Refreshment Voucher at the airport.


  • fastjet will NOT provide further compensation than the refund of the flight ticket.
  • fastjet are NOT responsible for missed connecting flights.
  • Passengers can claim a refund or re-booking through our Call Centre or at a fastjet Sh
 
Mmmmh sijui kwa nini sijaelewa
pole hata uandishi ulikua wa haraka, ni hivi kuna ndugu zetu walifika uwanjani leo wakiwa na tiketi zao na kuambiwa ndege haipo na muamana ni KURUDISHIWA NAULI ZAO

kama una uzoefu ama weledi uwasaidie mana wapo stranded
 
Ila wao ukibadili safari sababu ya dharura hawakuelewi,wajifunze kuliona hilo pia wao wakipata dharura sawa kuhairisha safari wengine hapana.
 
Mwenye msaada wa haraka wa nini wafanye ndugu zetu waliokua wasafiri na Fast Jet asubuhi ya leo Kuja/Kurudi Dar na wamefika Airport wanaambiwa ndege haipo

WARUDISHIWE NAULI'

Wamekwenda Civil Aviation Authority wanaambiwa warudi Fast Jet na Mkuu we HAPATIKANI
Sahau kuhusu kurudishiwa nauli, hiyo ndege nimeshasafiri nayo hata sikumbuki ni mara ngapi.

Mtanzania anayetaka haki kwenye nchi hii tuikatae ccm kwa nguvu zote.

Mtu mjinga hawezi kunielewa.
 
FUNCTIONS ZA TCCA

functions
Functions of the Authority

(1) The functions of the Authority shall be:

(a) to perform the following:

(i) To issue, renew, vary and cancel air service licences;

(ii) To establish standards for regulated goods and regulated services;

(iii) To establish standards for the terms and conditions of supply of the regulated goods and services;

(iv) To regulate rates and charges;

(v) To make rules for carrying out the purposes and provisions of this Act;

(b)To monitor the performance of the regulated suppliers including in relation to:

(i) levels of investment;

(ii) availability, quality and standards of services;

(iii) the cost of services;

(iv) the efficiency of production and distribution of services, and

(v) other matters relevant to the Authority;

(c) To facilitate the resolution of complaints and disputes;

(d) to take over and continue carrying out the functions formerly of the former Authority;

(e) to disseminate information about matters relevant to the functions of the Authority;

(f) to consult with other regulatory authorities or bodies or institutions discharging functions similar to those of the Authority in the united Republic and elsewhere;

(g) to administer this Act;

(h)to plan,develop,regulate and promote operations of a safe,secure and efficient civil aviation system;

(i) to conduct safety,security and economic oversight of the aviation industry;

(j) to establish and implement the state safety programme;

(k) to establish an acceptable level of safety;

(l) to advice the Government on matters concerning civil aviation;

(m) to coordinate search and rescue operations of aircraft;

(n) to deal with acts of unlawful inteference;

(o) to establish, manage and operate training institutions for the industry;

(p) to plan,develop and formulate the safe,secure and efficient management of Tanzania airspace;and;

(q)to perform such other functions as may be conferred on the Authority by this Act or any other law.
 
huwa tunawaambia tumieni bombadia mnasikiliza majungu ya wenye wivu hasi na ndege zetu.
hao fastjet wana ofa inaisha tarehe 30 november na booking ipo full huko bombadia baada ya kujua ivyo wamepandisha bei kutoka 140 mpaka 280laki
 
hao fastjet wana ofa inaisha tarehe 30 november na booking ipo full huko bombadia baada ya kujua ivyo wamepandisha bei kutoka 140 mpaka 280laki
sio mara ya kwanza. kuna siku hapo mwanza waligombania siti utadhani daldala....
yaani mjanja ndio anaondoka mtu alipanga kuondoka asubuhi anajikuta anaondoka kesho yake au siku hiyo usiku. cheap is expensive...
wanaharibu thamani ya usafiri wa anga...

why always them?
 
Mwenye msaada wa haraka wa nini wafanye ndugu zetu waliokua wasafiri na Fast Jet asubuhi ya leo Kuja/Kurudi Dar toka Mwanza na wamefika Airport wanaambiwa ndege haipo

WENYE Ndege wanaambiwa ufumbuzi ni kuwarudishia nauli zao

Wamekwenda Civil Aviation Authority wanaambiwa warudi Fast Jet na Mkuu wao HAPATIKANI kwa simu

%20fastjet_mbeya_%20%2815%29.JPG
waambie mapanga shaaa ndio habari ya muji kwa sasa
 
Sahau kuhusu kurudishiwa nauli, hiyo ndege nimeshasafiri nayo hata sikumbuki ni mara ngapi.

Mtanzania anayetaka haki kwenye nchi hii tuikatae ccm kwa nguvu zote.

Mtu mjinga hawezi kunielewa.
nadhani nimekuelewa
 
Wangewafaulisha kwenye Air Tanzania au Precision Air. Hao watu hawana shida na pesa, wana shida ya kusafiri...
 
Back
Top Bottom