Afadhali wale wa kigoma walishazoea hayo mambo hapo wataluwa na samaki,miwa na ugali wa muhogo.watavumilia tu mkuu ila hapo uwanjani kutakuwa kuna kelele za waha kubishana ni kama wapo soko la ujiji!NAKO KUNA KASHESHE MAANA ABIRIA ZAIDI YA 30 Waliokua wakisubiri ndege toka Kigoma wamekwama
Ingekuwa Ni ATCL imefanya hivyo matusi yake humu mpaka shetani angesikitikaMwenye msaada wa haraka wa nini wafanye ndugu zetu waliokua wasafiri na Fast Jet asubuhi ya leo Kuja/Kurudi Dar toka Mwanza na wamefika Airport wanaambiwa ndege haipo bila kutoa sababu.........
WENYE Ndege wanawaambia kwamba ufumbuzi ni kuwarudishia nauli zao
Wamekwenda Civil Aviation Authority wanaambiwa warudi HUKO HUKO Fast Jet na Mkuu wao HAPATIKANI kwa simu
Yasemekana miongoni mwa abiria ni watalii 19 waliokua waunganishe kwenda zanzibar kwa utalii kisha kurudi kwao
Updates
- Abiria waliolipa cash wmerudishiwa fedha zao
- Abiria waliolipia online wameambiwa wasubiri ndani ya masaa 24 watarudishiwa fedha zao
- ABIRIA waliolipa online wamelazimika kurudi kwenye maeneo yao (nyumbani hotelini nk) wakisubiri hatma yao
Updates
1. Baadhi ya abiria walioamiwa wasubiri ndani ya masaa 24 wameambiwa na wakala wa miamala (tigo pesa) kwamba ni masaaa 48 na SIO 24
Updates
BAADHI YA ABIRIA WALIOKWAMBA WAMEAMBIWA KWAMBA HUENDA WAKAUNGANISHWA KWENYE BOMBADIER YA SAA TANO USIKU WA LEO NA WAMERUDI HOTELINI WAKISIKILIZIA
![]()
CCM na Fast jet imringilianaje? CCM yao bombardierSahau kuhusu kurudishiwa nauli, hiyo ndege nimeshasafiri nayo hata sikumbuki ni mara ngapi.
Mtanzania anayetaka haki kwenye nchi hii tuikatae ccm kwa nguvu zote.
Mtu mjinga hawezi kunielewa.
Ingekuwa ni bombardier ndio imefanya hivyo tusingelala kwa makelele ya bavicha.huwa tunawaambia tumieni bombadia mnasikiliza majungu ya wenye wivu hasi na ndege zetu.
Umejitambulisha kwa ujinga wako.CCM na Fast jet imringilianaje? CCM yao bombardier
wale wanaombwe la hoja ya kusimamia.Ingekuwa ni bombardier ndio imefanya hivyo tusingelala kwa makelele ya bavicha.
Ni vizuri pia kukatia bima safari (travel Insurance, kwenye tatizo kama ilo unakuja kudai fidia..Duh huduma za kitanzania pasua kichwa.
Yani hapo hawajali kwamba wameingiza watu hasara unakuta kuna mtu labda alikuwa na biashara ya muhimu leo leo dar, au mwingine anawahi ndege anasafiri kuelekea nje.
Inabdi siku moja watu wadaiwe fidia mahakamani ya mamilioni labda ndipo wataelewa somo
Wewe kwa unyumbu wakoUmejitambulisha kwa ujinga wako.
Mwingine unakuta anawahi ndoa au send offDuh huduma za kitanzania pasua kichwa.
Yani hapo hawajali kwamba wameingiza watu hasara unakuta kuna mtu labda alikuwa na biashara ya muhimu leo leo dar, au mwingine anawahi ndege anasafiri kuelekea nje.
Inabdi siku moja watu wadaiwe fidia mahakamani ya mamilioni labda ndipo wataelewa somo
Upande bambadiyee alafu ikufelie huko angani,,,si bora upande basi ujue mojahuwa tunawaambia tumieni bombadia mnasikiliza majungu ya wenye wivu hasi na ndege zetu.
Sasa CCM inahusika vipi kwenye cancellation ya ndege? Njoo huku Ulaya utakutana na cancellation za ndege kibao watu huwa tunakaa airport hata siku mbili. Issue ni kujua cancellation inahusiana na nini?? Matatizo ya ndege au ni hali ya hewa au hawana ndege imeharibika? Kwa wasafiri wa ndege wa mara kwa mara haya mambo wanayajua sana ila wanaosafiri mara moja kwa mwaka wanaweza kushangaa sana na kuanza kulaumu utawala which is not true!Sahau kuhusu kurudishiwa nauli, hiyo ndege nimeshasafiri nayo hata sikumbuki ni mara ngapi.
Mtanzania anayetaka haki kwenye nchi hii tuikatae ccm kwa nguvu zote.
Mtu mjinga hawezi kunielewa.
Sasa CCM inahusika vipi kwenye cancellation ya ndege? Njoo huku Ulaya utakutana na cancellation za ndege kibao watu huwa tunakaa airport hata siku mbili. Issue ni kujua cancellation inahusiana na nini?? Matatizo ya ndege au ni hali ya hewa au hawana ndege imeharibika? Kwa wasafiri wa ndege wa mara kwa mara haya mambo wanayajua sana ila wanaosafiri mara moja kwa mwaka wanaweza kushangaa sana na kuanza kulaumu utawala which is not true!