Samahani naomba ufafanuzi kuhusu kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi,hatua za kufuata Ni zipi
Ili mzigo ukufikie DHL huitaji taarifa tatu.DHL,Ni mara yangu ya Kwanza kuagiza mzigo nje je nifanyeje ili mzigo nikauchukue huko DHL
Nilishawahi kutumiwa mzigo dah ilinitoka pesa nyingi sanaSamahani naomba ufafanuzi kuhusu kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi,hatua za kufuata Ni zipi
Samahani lakn kwa senegal mbona nasikia harufu ya NIGERIAN akifanya yake??Ni kwamba Kuna mtu nataka nimwagize anitumie mzigo kutoka Senegal kupitia DHL,Ni mara yangu ya Kwanza kuagiza mzigo nje je nifanyeje ili mzigo nikauchukue huko DHL kwa urahisi.naomba niwasilishe
Ahaaa Asante mkuuIli mzigo ukufikie DHL huitaji taarifa tatu.
Mzigo ukifika nchini utapigiwa simu kwa Taratibu za clearance na maelekezo mengine utapewa.
- Jina kamili la mookeaji mzigo
- Namba ya simu inayopatikana muda wote.
- Anwani ya makazi wewe unapatikana ( Physical Address )
samahani ivi inawezekan kutoa dollars ATM kwa card ya visa huku bongo na Kama hamna unawezaje kutoa dollars kweny card labda Kama Kuna utaratib mwingine,Ili mzigo ukufikie DHL huitaji taarifa tatu.
Mzigo ukifika nchini utapigiwa simu kwa Taratibu za clearance na maelekezo mengine utapewa.
- Jina kamili la mookeaji mzigo
- Namba ya simu inayopatikana muda wote.
- Anwani ya makazi wewe unapatikana ( Physical Address )
Maelezo yako hayajanyoka/ hayaeleweki. Labda jibu haya maswalisamahani ivi inawezekan kutoa dollars ATM kwa card ya visa huku bongo na Kama hamna unawezaje kutoa dollars kweny card labda Kama Kuna utaratib mwingine
Kadi yangu Ni USD, hitaji langu natak kutoa dollars humo kweny card na nifanye exchange kwa fedha ya TanzaniaMaelezo yako hayajanyoka/ hayaeleweki. Labda jibu haya maswali
Nini hasa unahitaji?
- Je card yako iko kwa USD au TZS??
- je hitaji lako ni USD?
Mfumo wa ATM utakutolea fedha katika TZS, ATM zilizo nyingi za TZ zimewekewa TZS na sio 'Dola'.Kadi yangu Ni USD, hitaji langu natak kutoa dollars
Hivyo ondoa shaka utapokea TZS.nifanye exchange kwa fedha ya Tanzania
Hellow Mkuu!Ili mzigo ukufikie DHL huitaji taarifa tatu.
Mzigo ukifika nchini utapigiwa simu kwa Taratibu za clearance na maelekezo mengine utapewa.
- Jina kamili la mookeaji mzigo
- Namba ya simu inayopatikana muda wote.
- Anwani ya makazi wewe unapatikana ( Physical Address )
iko sahihi, mzigo ukifika nchini, wao DHL watakupigia simu na utaletewa mahala ulipo.DHL airport tu.
Kwanini hamna option nichague ya Samora?
Asante sana Mkuu nilitaka kushangaa na gharama zote hizo wafanye mambo kienyeji utafkiri kikuu!iko sahihi, mzigo ukifika nchini, wao DHL watakupigia simu na utaletewa mahala ulipo.
Nilikuwa sijalipa import duty,iko sahihi, mzigo ukifika nchini, wao DHL watakupigia simu na utaletewa mahala ulipo.