Unadhani uchumi utakua endapo bidhaa inayozarishwa nchini inakodi kubwa na ile inayotoka nje free tax?

KENTUFYA

Member
Nov 21, 2023
11
10
Tunadanganyan sana ikifika swala hili,nikazi kwa uchumi wa nchi kukua kama bidhaa inayozarishwa nchini iko juu kifedha kulinganisha na ile inayoingia kutoka nje.

KWANINI- Sababu bidhaa ya ndani ikipelekwa nje inaenda kuuzwa kwa dollar hivyo kuongeza mzunguko wa fedha za kigeni nchini kitu ambacho kinazorotesha uchumi wanchi.

Toa ushauri wako mdau kipi wizara ya viwanda ifanye kunusuru Tanzania bidhaa zetu ziko juuu kuliko zinazotoka nje.
 
Ujinga tu


Aliyeelewa kweli kuhusu maendeleo halisi mojawapo Magu tu.

Alijua kabisa kuweka mazingira ya viwanda vya ndani kujiendesha bila gharama kubwa za uendeshaji ndio njia pekee kujikwamua.

Ndo maana alikazia;

Umeme
Kusiwe na konakona bureaucracy
Miundombinu
 
Back
Top Bottom