Sa faida Si Ndo RIBA
Really? Profit na interest ni kitu kimoja?
Sa faida Si Ndo RIBA
Really? Profit na interest ni kitu kimoja?
Faida ya Nani? Kama aliyekukopesha anafaidika na kukopesha FAIDA INATOKANA NA NINI? USIJITIE UPOFU
Kwa ulewa wangu biashara ni mfumo ambao unachukua bidhaa unahiweka sokoni kusubiri wateja. Sasa hii ya kukununulia kisha aongaze cha juu MMMH, May be lakini napata wasi wasi sana kama kuna harufu ya riba.
Kama uelewa wako wa biashara umeishia hapo lazima uwe na wasiwasi. Hujawahi kusikia watu wanatoa order watengenezewe kwa mfano mashine fulani (haipo sokoni)? Au unatoa order kwa supplies/logistics companies (hawana bidhaa sokoni) wakununulie bidhaa fulani unayohitaji?
Yah ninakuelewa vizuri,
Lakini hao supplier huwa wanaenda kununua viwandani ili haweze kuku uzia bei iliyopo sokoni na si kwenda kuchukua kwa jirani na kuongeza dhamani kidogo huo ni uhuni. Samahani kama nitakuwa nimekosea maana siyo mtaalamu sana kwenye biashara.
Hapana ndugu yangu, si lazima akanunue kiwandani, biashara ni somo pana ndio maana watu wanasomea. Ukiniambia unatafuta iphone 6s nikaenda kuinunua then nikakuuzia (kwa faida) hiyo haiwi biashara?
Biashara huwa inakuwa na asilimia ya hasara sasa hiyo kukununulia kwa kuongeza cha juu sioni hata asilimia moja ya hasara
kabla ya kujiunga lazima ujifunze kuwa na hasira,ugomvi, jaziba,chuki nk hapo utakuwa umewiva kweyikweyi
Hapo naona kama utakuwa unafanya kazi ya Udalali maana mfabiashara atakuwa ni huyo ambaye umeenda kuchukua simu kwake.
Na kwa vile hii kitu imekaa kiimani zaidi kwa nini ukachukue kwa jirani huje umuuzie kwa kiongeza kidogo badaya ya wewe kumuelekeza aenda kwa jirani akanunue mwenyewe? Au ni kwa sababu yeye anakuwa hana cash ndiyo umfanyie hivyo?
.
Na kwa vile hii kitu imekaa kiimani zaidi kwa nini ukachukue kwa jirani huje umuuzie kwa kiongeza kidogo badaya ya wewe kumuelekeza aenda kwa jirani akanunue mwenyewe? Au ni kwa sababu yeye anakuwa hana cash ndiyo umfanyie hivyo?
Really? Profit na interest ni kitu kimoja?
ALLAH ameharamisha riba na amehalalisha biashara mnatakiwa kuelewa hilo.