Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Hamna kitu kama hicho den ikawa sadaka .bank itapataje faida, mbona wanafanya valuation kwy fixed asset kwa ajili ya kutoa mikopo kila bank inaendeshwa na regulation za bot.acha uongo bana
Kafirunn nyiokunda acha kuhangaika na mambo usiyo yajua:
'Na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. Na mkilifanya deni kuwa ni sadaka, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.
Qur'an: 2:280.
Last edited by a moderator: