Salaam. Kwa mwenye taarifa zozote za alipo mwanafunzi aliyekuwa akijulikana kwa jina la Rukiya Abdalla Ali kwenye shule ya Sekondari ya Kinondoni Muslim mnamo mwaka 1994 naomba awasiliane na mimi haraka iwezekanavyo. Zawadi nono itatolewa.
Nyongeza: Huyu ni rafiki wa kifamilia tuliyopotezana miaka mingi, nimemtafuta kuanzia Mtoni kwa Azizi Ali hadi Chuoni sijampata.
Kaka ulikuwa wapi kitambo chote hicho cha miaka 20? Kwa maisha ya bongo huyo dada atakuwa amesha zeeka kwa mawazo. Kama alikuwa ndugu yako siuende nyumbani kwao ukaulizie kwa nduguzo? wewe si mtu mzuri, ivi unadhani mume wake akiipata hii habari ndoa ya huyo dada utakuwa umeiweka ktk mazingira gani?