Msaada Tutani: Binti wa Kinondoni Muslim 1994

Msaada Tutani: Binti wa Kinondoni Muslim 1994

Mkuu nadhani ungesema sababu ya kumtafutia ingesaidia zaidi isije ikawa unamdai unamtafuta ili umuadhibu, vile vile hata yeye akiona kuna mtu anamtafuta bila kujua ni nani anayemtafuta atakimbia.., (bora ungesema mimi ni rafiki yake tumepotezana namtafuta) unajua inaweza ikawa ni adui yako
 
huyu mbona alishabadili dini ndio yule aliyekuwa mke wa oscar wa paraolimpic.

Hujafa hujaumbika mkuu KIPUMPUSWA! Marehemu mchumba wa Oscar Pistorius, anaingiaje hapa? Ebu fikiria kwanza kabla ya ku - post!
 
Last edited by a moderator:
Alumni wa Kinondoni Muslim, tusaidiane ndugu zangu
 
Mkuu nadhani ungesema sababu ya kumtafutia ingesaidia zaidi isije ikawa unamdai unamtafuta ili umuadhibu, vile vile hata yeye akiona kuna mtu anamtafuta bila kujua ni nani anayemtafuta atakimbia.., (bora ungesema mimi ni rafiki yake tumepotezana namtafuta) unajua inaweza ikawa ni adui yako

Shukrani kwa ushauri mwanana Mwanaconfucius, nimeshaufanyia kazi hapo juu
 
Mbona unatumia nguvu kubwa hivyo kumtafuta?

gaizka, mwanavalencia mwenzangu, daima tunatumia nguvu kubwa, kama tunazotumia mestalla, kuwatafuta ndugu, jamaa na marafiki tuliowapoteza kiaina
 
Salaam. Kwa mwenye taarifa zozote za alipo mwanafunzi aliyekuwa akijulikana kwa jina la Rukiya Abdalla Ali kwenye shule ya Sekondari ya Kinondoni Muslim mnamo mwaka 1994 naomba awasiliane na mimi haraka iwezekanavyo. Zawadi nono itatolewa.

Nyongeza: Huyu ni rafiki wa kifamilia tuliyopotezana miaka mingi, nimemtafuta kuanzia Mtoni kwa Azizi Ali hadi Chuoni sijampata.
Mie namfahamu ebu nitafute kwa address hii nikupe details zake🙁§"¤|~§%¥*=#"§)napatikana hapo!
 
kwi kwi kwi teh teh teh.

Nani aliyesema "mavi ya kale hayanuki"?
 
Salaam. Kwa mwenye taarifa zozote za alipo mwanafunzi aliyekuwa akijulikana kwa jina la Rukiya Abdalla Ali kwenye shule ya Sekondari ya Kinondoni Muslim mnamo mwaka 1994 naomba awasiliane na mimi haraka iwezekanavyo. Zawadi nono itatolewa.

Nyongeza: Huyu ni rafiki wa kifamilia tuliyopotezana miaka mingi, nimemtafuta kuanzia Mtoni kwa Azizi Ali hadi Chuoni sijampata.

shika namba ya mganga ambaye hurudisha marafiki walio mbali na wewe 0682123542..
 
he he he, mie nilitangazwa radio free, nikapatikana.

Nilikasirika mno.

Hahaha! Seriously?
Unajua kuna mtu alinianbia alishawahi kunitangaza radio free africa bila mafanikio sikumuamini!

Kila la kheri kaka, mweeh!
 
We mtafute mwenyewe bana,
Kumfaidi umfaidi wewe mwenyewe, kumtafuta tumtafute wote!!

hiyo sio nia yangu, yaani wewe hujawahi kupoteza ndugu, jamaa au rafiki?

"heri kufiwa kuliko kupotelewa", walinena wanaojua kadhia ya kupoteana.
 
nitamuuliza binamu yangu mmoja alisoma hapo na alikaa maeneo ya Lang'ata enzi hizo!!!
 
Back
Top Bottom