Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,609
- 1,735
Salaam. Kwa mwenye taarifa zozote za alipo mwanafunzi aliyekuwa akijulikana kwa jina la Rukiya Abdalla Ali kwenye shule ya Sekondari ya Al-Haramain mnamo mwaka 1994 naomba awasiliane na mimi haraka iwezekanavyo. Zawadi nono itatolewa.
Nyongeza: Huyu ni rafiki wa kifamilia tuliyopotezana miaka mingi, nimemtafuta kuanzia Mtoni kwa Azizi Ali hadi Chuoni sijampata.
Nyongeza: Huyu ni rafiki wa kifamilia tuliyopotezana miaka mingi, nimemtafuta kuanzia Mtoni kwa Azizi Ali hadi Chuoni sijampata.