Msaada Tutani: Binti wa Kinondoni Muslim 1994

Msaada Tutani: Binti wa Kinondoni Muslim 1994

nadhani sijaeleweka, dada yake nilimuona kwa mbali nikataka kwenda kumuuliza, kabla sijamfikia akaondoka hivyo nikapoteza bahati
Okayy, pole nafikiri utamuona, jaribu pia kuandika jina lake kwenye google the search zaweza patikana clues like list ya waajiriwa wa serikali and so ukajua pa kuanzia
 
Salaam. Kwa mwenye taarifa zozote za alipo mwanafunzi aliyekuwa akijulikana kwa jina la Rukiya Abdalla Ali kwenye shule ya Sekondari ya Al-Haramain mnamo mwaka 1994 naomba awasiliane na mimi haraka iwezekanavyo. Zawadi nono itatolewa.

Nyongeza: Huyu ni rafiki wa kifamilia tuliyopotezana miaka mingi, nimemtafuta kuanzia Mtoni kwa Azizi Ali hadi Chuoni sijampata.

Rafiki wa Familia kwenye Jukwaa la mapenzi na mahusiano? tusidanganyane,kama umeoa huyo mdada mume hana muda si mrefu akipatikana huyo baasi ndoa inkufa...........mbona hujawatafuta wazazi wake?....Lol!
 
Umesahau U kwenye MMU
 
nitamuuliza binamu yangu mmoja alisoma hapo na alikaa maeneo ya Lang'ata enzi hizo!!!

kiongozi Compareno, nilimuuliza binamu yangu ila akasema hampati vizuri..ameshauri ungeweza upite kwenye hiyo shule, huwezi jua labda kuna mwalimu anamfahamu...all the best!! milima haikutani, binadamu hukutana..usikate tamaa!!!
 
Pole mazee nilishamuoa long time

Tuna watoto kibao hapa alipo mjamzito.
 
Back
Top Bottom