bright pledge 255
Senior Member
- Aug 15, 2022
- 140
- 172
- Thread starter
- #61
kumbe chupa isiwe kama ya soda yani viwe vipisi tuUkiyasaga mara moja basi! chukua chupa za kioo si za plastiki. Titi linakuwakatikati unabamiza
kumbe chupa isiwe kama ya soda yani viwe vipisi tuUkiyasaga mara moja basi! chukua chupa za kioo si za plastiki. Titi linakuwakatikati unabamiza
Hapana iwe ni chupa nzima iliyo tupu ambayo haijapasuka lakini ya kioo si ya plasiki au kama vyuma viwili nia ni kusaiga huo ugumu ugumu au uvimbe ulio ndani ya titikumbe chupa isiwe kama ya soda yani viwe vipisi tu
poa poa nitajaribuHapana iwe ni chupa nzima iliyo tupu ambayo haijapasuka lakini ya kioo si ya plasiki au kama vyuma viwili nia ni kusaiga huo ugumu ugumu au uvimbe ulio ndani ya titi
Kuna watu wazima na juzi hapa nilimuona Waziri mmoja nguli akiwa na matiti flani kifuani.Tatizo la kuota matiti kwa wanaume dawa yake nini ,matiti yanavimba ukiyabonyeza kunakuwa na kitu kigumu kwa ndani, sasa nataka hako kajitu katoke je nifanyeje? Kama kuna dawa ya asili pia naomba msaada.
Hapo hapo unakuwa ni uji huo uvimbe na maji yanatoka. Hakikisha mtu atakayeyabonda asiwe anakuhurumia kwani dawa ya homa ni sindano.poa poa nitajaribu
qn;matokeo ni baada bya muda gani
Usifanye kwa msichana tafadhali maana msichana lazima awe na matiti. Fanya kwa wavulana tu!!!!Duuh hii ni kwa jinsia zote au
Nilisikia kwa Watu wazima ni kawaida kwani miili yao hupunguza kuzalisha homoni za kiumeKuna watu wazima na juzi hapa nilimuona Waziri mmoja nguli akiwa na matiti flani kifuani.
Hii ni shida na inaashiria mkusanyiko wa vurugu kifuani...
Mwanaume kuwa na matiti ni dalili mbaya
Dah mwana una chuchu konzimimi nagonga 25 tokea miaka 13 ,sidhani kama ni normal
Ukiyashika unasikia nyegenimefatilia sana tiba, sijapata alternative option zaidi ya kufanya surgery ,na yenyewe unakuwa na option watoe yale mafuta au wakatoe na kale ka kitu kanakozarisha hayo mafuta sijui ndio maziwa anyway, sasa mimi nitaenda kukatoa hako ka kitu ndio option pekeee, but kama kuna mtu ana ushauri kwa hapo naomba anipe ushauri
Nina mpango wakuja kuvitoa,one day nitatimba muhimbili nikavitoe ila now vikaushe sio vikubwa kihvyo na havinishawahi ila vipo kiwaki sana.vipi ushatake action au umevikubari?
Duh hapo waone wataalam.
bugando vipi inapatikana hiyo huduma?Nina mpango wakuja kuvitoa,one day nitatimba muhimbili nikavitoe ila now vikaushe sio vikubwa kihvyo na havinishawahi ila vipo kiwaki sana.
put yourself in my shoes, then get yourself an answerUkiyashika unasikia nyege
Ilipotea yenyewe but Kuna watu nimewahi kuona wakikamuliwa ili kuondoa uvimbeMkuu ulipokuwa stage hio ya makuzi ulifanya hivyo ulivyoandika? Mimi nakumbuka ilipotea yenyewe tu.
nimevibonda jana usiku maumivu yake ni balaa ila zoezi limefeli, cos baada ya kuvibondabonda maji hayajatoka nikavikamua bado bilabilaHapo hapo unakuwa ni uji huo uvimbe na maji yanatoka. Hakikisha mtu atakayeyabonda asiwe anakuhurumia kwani dawa ya homa ni sindano.
Wewe bwana! UnachekeshaNo namaanisha mwanamke ambaye tayari ana matiti naye akifanya hivyo yanaondoka ama inakuwaje
Ni wewe uliyevibonda? Kwani bado kuna ugumu ugumu? Au vimesagikanimevibonda jana usiku maumivu yake ni balaa ila zoezi limefeli, cos baada ya kuvibondabonda maji hayajatoka nikavikamua bado bilabila
kusema kweli ugumu upo lakini vimesagika kiasiKwani bado kuna ugumu ugumu? Au vimesagika