MSAADA: Tatizo la wanaume kuota matiti

MSAADA: Tatizo la wanaume kuota matiti

Tatizo la kuota matiti kwa wanaume dawa yake nini ,matiti yanavimba ukiyabonyeza kunakuwa na kitu kigumu kwa ndani, sasa nataka hako kajitu katoke je nifanyeje? Kama kuna dawa ya asili pia naomba msaada.
Chukua chupa mbili zigonganishe hilo titi likiwa katikati
 
MIAKA 25 NISHAKIMBIA KWENYE PUBERTY NA ILIANZA KUTOKEA TOKEA CLASS 5 MIAKA 12 MPAKA SASA. nilishayakamua yanarudi tu yenyewe, yanakera kinoma huwezi ukavaa shati la size lazima uoversize na utembee umeinama kama una kibyongo ili watu wasione, huwezi ukakaa kifua wazi in short yanafanya ukose confidence, u
Hospitali wamesemaje?
 
i hope yre making a joke or something
Nakueleza kitu ambacho mama yangu alinifanyia nilipobarehe na mimi mtoto wangu nilimfanyia. Inauma sana ila inaondoa hilo tatizo. Ndiyo dawa yake yagonge kwa chupa mbili na titi liwe katikati
 
MIAKA 25 NISHAKIMBIA KWENYE PUBERTY NA ILIANZA KUTOKEA TOKEA CLASS 5 MIAKA 12 MPAKA SASA. nilishayakamua yanarudi tu yenyewe, yanakera kinoma huwezi ukavaa shati la size lazima uoversize na utembee umeinama kama una kibyongo ili watu wasione, huwezi ukakaa kifua wazi in short yanafanya ukose confidence, u

Siyo wewe pia kuna jamaa mmoja yupo kama wewe,,, hayo ni mambo ya hormonal imbalance. Acha kifua wazi watu wakuzoee. Be confident Mungu ndiyo kapanga uwe hivyo,,, usijichanganye kunywa madawa utavuruga mambo utakuja kulia hapa.
 
Nakueleza kitu ambacho mama yangu alinifanyia nilipobarehe na mimi mtoto wangu nilimfanyia. Inauma sana ila inaondoa hilo tatizo. Ndiyo dawa yake yagonge kwa chupa mbili na titi liwe katikati
nitafanya hivyo mkuu ingawa ina sound like ajoke, tatizo likiingia dawa ni dawa ilimradi upone

q;nifanye hivyo kwa siku ngapi , na chupa gani
 
MIAKA 25 NISHAKIMBIA KWENYE PUBERTY NA ILIANZA KUTOKEA TOKEA CLASS 5 MIAKA 12 MPAKA SASA. nilishayakamua yanarudi tu yenyewe, yanakera kinoma huwezi ukavaa shati la size lazima uoversize na utembee umeinama kama una kibyongo ili watu wasione, huwezi ukakaa kifua wazi in short yanafanya ukose confidence, u
Dah kweli kila jinsia na vitu vyake, wadada ukiwa na kifua kinachoonekana ndiyo fahari yetu na unaachia kinafasi kidogo ili kionekane, ila upande wa pili ni shida. Nenda hospital huenda ukashauriwa vyema mkuu.
 
walisema ni kawaaida ,hadi doctor akanionesha na yeye anayo, ili kunithibitishia ni kawaida lakini mimi sijakubaliana nayo hayo majitu [cueste lo que queste] nitayatoaga tu one day

Hapo inabidi ujue kuwa una estrogen-androgen imbalance sawa,,,, hapo estrogen inazalishwa kwa wingi ketendo kinachopelekea kuzalishwa kwa mafuta (ductal fibroblast) kwa wingi zaidi. Ndiyo hivyo vinavyovimba hapo.
 
Back
Top Bottom