Sababu za Miwasho mwilini na Tiba yake

Sababu za Miwasho mwilini na Tiba yake

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,766
Reaction score
2,685

msaka cordia monoica.jpeg



MAELEZO YA JUMLA

Kuwashwa (itching) ni hali ya kuhisi mchonyoto unao kera kwenye ngozi unaokufanya utamani kukuna sehemu iliyoathirika unaweza kuwasha sehemu fulani ya mwili pekee au mwili mzima


TATIZO LA KUWASHWA MWILI


Kuwashwa katika ngozi ya mwili ni kitu kinacho mfanya mwanadamu kukosa utulivu kutokana na kero anayo pata hutokea mwanadamu kukumbwa na Muwasho wa kuaibisha ikiwemo ule wa sehemu za siri

Lakini wataalamu wanasema tatizo la Kuwashwa linaweza kuathiri mtu kiasi cha kusababisha matatizo ya AKILI


KUWASHWA HUSABABISHWA NA NINI?

Kuna sababu nyingi za kuwashi mwili ni pamoja na

Kuzeeka kwa ngozi


Kuvimba kwa ngozi kunasababishwa na mzio (Atopicdel matitis)


Ugonjwa wa mabaka ya ngozi (hives)


Maambukizi ya ngozi kama vile kuvimba kwa vinyweleo(Folliculitis) au maambukizi yanayo sababisha malengelenge


Homo ya manjano inayo ashiriwa na ini kuvimba (Hepatitis-B)


Maambukizi ya utotoni kama vile tetekuwanga (chicken pox) au surua (Measles)

MIMEA TIBA
MSAKA (Cordia Monica) ni Mmea dawa pekee ambayo ina Uwezo wa Kuondoa hayo maradhi ya Muwasho haraka kuliko dawa za kemikali

MSAKA (Cordia Monica) ni Mmea dawa pekee ambayo ina Uwezo wa Kuondoa hayo maradhi ya Muwasho haraka kuliko dawa za kemikali

HUTIBU

1=Fangasi za aina zote ndani ya uke (vagina candidia)

2=Kuwashwa mwili

3=Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri

4=Magonjwa ya ngozi na zinaa kama Psoriasis, Eczema, Dermititis, Sclop problems and rash n.k

5=Kupata vidonda au mchubuko ukeni


JE UNAIJUA MIMEA YENYE MIUJIZA YA KUONDOA MUWASHO MWILINI NA UKENI

TUMIA UNGA WA MMEA WA MSAKA

Miti shamba hutibu kila maradhi yoyote na kugeuza ali hii ya Ugonjwa wa Muwasho mwilini na ukeni na kurejesha furaha kwa jamii

Watu wengi wametibiwa lakini tiba za hospitalini hazija wasaidia lakini jambo la la kustaajabisha ni kwa tiba rahisi ya magonjwa ya ngozi tunayo lakini hatutambui kuwa tunayo

Dawa hii ya UNGA wa MSAKA una nguvu za Ajabu kuondoa Muwasho katika mwili na ukeni

Tunao unga Magome na mizizi pamoja na Unga wa Majani.DOZI ELF 30. PIGA 0713 039 875
 
Shida nini why msitoe majina ya kitanzania.
UTAPELI NDIO HUANZIA HAPO. WHY MAJINA YA KIZUNGU ETI MONICA????
 
Mmea huu kiswahili unaitwa msaka

Jina la kisayansi ( cordia monoica)linaamuliwa na mikutano ya wanasayansi Kila mwaka ili Dunia mzima muwe na ufahamu mmoja likitajwa.
 
Back
Top Bottom